Shime Mheshimiwa Rais Kikwete, unapozuru mafisadi wiki ijayo usimsahau Lundenga

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,736
5,944
Hivi kwanini huyu aachwe? Hashim Lundenga ? huyu aliyempitisha sitti mtemvu.. mpaka kumtetea mahakamani? huyu 'anayepanga' nani ashinde nani asishinde..
Hashim lundenga tangu mashindano haya yaanze aseme mshindi yupi alipita bila zengwe!..
mshukuru Mungu kwa kuzaliwa tz.. ingekuwa China....
 
Mtashangaa ya firauni atakapo kuja na riwaya mwenyewe akiwa mkaaavu nyie mtabaki macho kodoo inaitwa kulinda maslahi ya chama chezea ccm .
 
Unamshangaa Lundenga kwa kuchakachua umri wa mtoto wa Mheshimiwa mbunge Abbas Mtemvu?

Mbona kwa magamba huo ndiyo mtindo wao wa maisha ya kila siku.

Siku itakapotokea CCM waamue kuachana na mtindo wao wa kila siku wa kuchakachua kila kitu, hadi umri wa mamiss, itakuwa sawa sawa na daktari anayeamua kuzima mtambo wa oxygen unaomsadia mgonjwa mahututi kuendelea kupumua.

Kwa kuwa daktari atakapofanya hivyo ndiyo muda huo huo, mgonjwa huyo ataiaga dunia.

Vivyo hivyo siku CCM itakapolazimishwa kuacha uchakachuaji na ndiyo siku hiyo hiyo, CCM watawapungia watanzania mikono ya bye bye, kwa kuwa siku hiyo ndiyo itakuwa ya mwisho kwa CCM kuitawala nchi hii!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom