"shimawimo"

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
7,961
13,589
Habari wanaJF!

Nakumbuka miaka ya mwisho ya 80 na mwanzo ya 90, kulikuwa na shirika moja linaitwa "SHIMAWIMO" pale moshi, likimaanisha "Shirika la Maendeleo Wilaya Moshi". Ni kama vile ilivyo kwa DDC ya Dsm...

Nakumbuka Miaka ile nilikuwa bado mdogo, moja ya mali walizokuwa wakimiliki ni mabasi yaliyokuwa yakifanya route zake toka pale stand kuu kwenda hospitali ya KCMC, stand kuu, Kiboroloni na stand kuu kwenda Maili 6.

Ndugu zangu hili shirika lilikumbwa na madhila gani? Mali nyingine walizokuwa wanamiliki ni zipi? Nani waliokuwa wasimamizi wa hilo shirika?

Ndg zangu naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom