Shilole: Nitagombea ubunge uchaguzi wa mwaka huu

Hakika naitazama ccm ikipoteza mvuto hata kwa sisi makada wake muhimu.

Shilole anatarajiwa kugombea ubunge hapa kwetu igunga na kwa hali ilivyo ndani ya chama chetu atapitishwa tu.

Harmonize atapitishwa kule Tandahimba hiyo haina ubishi, maana mwenye chama kasema.

Mimi na makada wenzangu wenye msimamo wa kati ndani ya ccm tumeanza kujiweka kando ili kuwapisha wabunge hawa wasanii ili wakafanye usanii pale bungeni dodoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond amepewa Kigoma natumai Rose Muhando atapewa Dodoma.
 
Ubunge ndani ya CCM umekosa hadhi !! Yaani kutujazia mambumbumbu bungeni kisa ni nini? kuongeza idadi ya wapiga makofi na wazomeaji ndiyo sera mpya ya CCM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom