Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Haa ha ha...aisee kuna demu wangu alikuwa ana tabia ya kutaka nimrudishie zawadi alizonipa tukigombanaa tu anaanza huo usengee.. Siku akanimbia eti tuchange tuanzishe bisharaa mara sijui tujenge msingi kwenye kiwanja chakee me namchoraaa tuuu ila nishajua ni mtu wa aina ganiii
Mpumbavu huyo, ntasikitika sana kama bado anakupasua kichwa hadi sasa!
 
Ukweli mchungu eeeeh? Pokeeeeni hivyo hivyo hakna namna.
Wala mm hainiumi
Ila Narudia tena kauli hizo ndizo zinawaponza
Ndomana wanaume wengine wanapiga(lkn siungi mkono mwanamke kupigwa)

Ova
 
Watakuja kubishana ila huo ndio ukweli..Mwanamke akiwa na kipato cha juu anajiona sana.
Especially mwanamke wa kibongo akiwa na uchumi, elimu ya juu kuliko man ni shida.....
Mwanaume akiwa na uchumi mkubwa napo mwanamke ni shida
Asilimia kubwa hawatabiriki

Ova
 
Nasoma comment za watu napata maswali kichwan. Hv n kwel Shilole anamlea Uchebe au Shilole kamzidi kipato Uchebe. Sizan km Shilole ndio anamlea mshikaji km mtoto mdogo ila tu Shilole kamzidi kipato uchebe.
Hapo ndio tatizo lililopo, inakuwaje shilole anamzidi kipato mumewe, kwani hiyo miradi sio ya familia?
 
Hapo ndio tatizo lililopo, inakuwaje shilole anamzidi kipato mumewe, kwani hiyo miradi sio ya familia?
Unajua mnapoamua kuanzisha familia lazma mke na mume waje pamoja na kuwa wamoja Sasa km kila mtu anahesabu mm ninakiasi flan na yule anasema na yeye anakiasi fulan au hv ni vyangu na vile ni vya mwingine hakuna ndoa hapo. Watu wamekulia maisha tofauti, km mke alibahatika kuwa na kipato na mwanaume aliyemtongoza na akajua kipato chake mpk wanaoana Sasa suala la kuanza kulalamika yanatokea wapi
 
Ubinafsi, kiburi na tamaa zinawaponza!
 
uchebe alimiliki benz wakati hela ya kuhudumia mafuta hana,alitegemea nini?ila kakosea sana kutoa kipigo,angeondoka kimya kimya tu
 
Mimi ni amu.
Kama ni kweli Quran imeruhusu mwanamke kupigwa waislam wanatakiwa wakae chini sasa wapitie maandiko yao.
Wayapitie maandiko yao kwa misingi gani ? Kwamba yamepitwa na wakati au ?

Unaooambiwa jambo fulani limekamilika, hapa unaelewa nini ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom