Shilole amchana Alikiba

Afu Nuhu mziwanda akamshirikisha kwenye wimbo wa jike shupa.
So watu wawil waliomgonga wameshirikiana kumuimba!!? Wanawake wengi ni wapumbavu sana when it comes to sex hasa hawa masupa staa uchwara.. wanagawa gawa hovyo hovyo...ni sawa na hawa akina dada mtaan siku anaolewa unakuta waalikwa kibao wako wanamchora tu na kumuonea huruma muoaji maana washapita naye mpaka sio vizur ..
 
Maisha yake akijifungia ndani !!akiyaleta mtandaoni yanatuhusu wote...upo
Hayakuhusu chochote ila unajichomeka kujihusisha tu kisa una ka ando kako ka wiki hako..hujaalikwa kwenye event ya watu wastaarabu mara ushakurupuka unajifanya eti ulienda kuichangamsha ...unadhan kila even watu wanataka mikelele??
Achen uzamiaji vichakula vya bei choo ndio maana vinawatoa roho dada zetu
 
Kumbe huyu dada alitangulia kuleta ushubwada!!
mseing kweli huyu
Ndio hivo mkuu sema Ali hakujibu hapohapo..sema hawa wasanii wakike wa bongo mi hua hata siwaelewi kabisa yani Namuonaga Mimi Zuchu ataendelea kua mkubwa yeye Huyu aendelee kupikia kina Baba Levo tu Mjini
 
Kiba hii shuhuli alishamaliza tangu Jana
Huyu mdangaj shishi kinachomsumbua n
Uswalihili alaf kina hata mjibu tena
Ila shilole atahangaika hii week yote

Kaona haitosh kaamua kumuweka na
Sadala ndan kwamba hamuwez


Shishi kiufupi n kama bata to
 
Kiba hii shuhuli alishamaliza tangu Jana
Huyu mdangaj shishi kinachomsumbua n
Uswalihili alaf kina hata mjibu tena
Ila shilole atahangaika hii week yote

Kaona haitosh kaamua kumuweka na
Sadala ndan kwamba hamuwez


Shishi kiufupi n kama bata to
Mpaka wimbo ataimba kwa kushirikiana na lile lidowea ukoko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom