Shillingi ya Tanzania hoi dhidi ya US $

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,406
2,000
Rate ya Dola US $ VS Tshs leo imezidi kuwa kizungumkuti, Why?

Ndio Uchumi umekuwa hivyo? Je itaongeza mfumuko wa bei au itapunguza?

1 US $ = 2180 US $.

Wachumi Tanzania, why?

Wachumi UDSM, vipi au mnapenda sana siasa...!

Wachumi eee....

Idadi ya watalii imeongezeka according to Honourable Maghembe

Watalii Matajiri wamekuja wangapi kuleta Dola?

Honorable Mpango, vipi...VAT kwenye Tourism imeongeza Dola...$?
 
Hwasha

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
1,271

Tatizo la kudhani tunajua hata tusiyoyajua.Thamani ya Shilingi hukua kwa kutegemea thamani ya bidhaa mnazouza kama nchi kulinganinisha na manunuzi yenu.Eleza nini kimeongezeka katika uzalishaji,na inachukua muda gani kuongeza au kupunguza mauzo na manunuzi.

Thamani itakapoongezeka utakuja jukwaani kutoa maelezo au utanyamaza kama mlivyonyamza mabadiliko ya bei ya sukari?
 
bei ya sukari imefanyaje?

Mwanzoni sukari ilikuwa kawaida 2000 kwa kilo na ipo tele

Serikali ikatia mkono na ikawa balaa

Sasa sukari imekwama kwenye 2200

Au wewe ulikuwa unasemaje?

Na kwa nini sukari ya nje iwe rahisi kuliko ya Tanzania?

Yaani Sukari isafirishwe umbali wote huo halafu ije iuzwe sawa au rahisi kuliko sukari ya Kilombero, Mtibwa au TPC..?
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
13,324

Naona Unatafuta Kwa Nguvu Kiagenda Cha Kutokea - Siasa Bana

- Kama Ulikuwa Hujui Mpaka Mwishoni Mwa Mwaka Jana Dola Moja Ya Marekani Ilikuwa Inanunuliwa Kwa 2,300 Tsh
 
shige2

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
7,904
2,000
Kwa mtazamo wangu naona NI VIZURI sana sana kushuka kwa thamani ya pesa yetu katika SOKO la fedha la KIMATAIFA.

Uzuri ni kuwa watanzania Wafanya BIASHARA wanao EXPORT/ uza nje watapata FAIDA kubwa zaidi na hivyo kuweza KULIPA kodi/ushuru wa serikali bila shida na hivyo nchi kufanikiwa.

Kama una habari, Rais mteule wa Marekani AMEIONYA China kuwa ina MCHEZO wa MAKSUDI wa KUISHUSHA thamani ya pesa yake ili NCHI YAKE IFAIDIKE!
Na ni kweli China ni MANIPULATORS wa currency yao wakubwa sana.

Kwa hivyo mkuu hakuna kitakacho panda bei. Isipokuwa kwa vituVINAVYOAGIZWA toka nje ya nchi. Na Mtanzania wa kawaida saa ngapi ataenda kununua imported goods si wale tu WALIONAZO nao ni WACHACHE?

Itafika wakati itabaki katika kiwango hitajika.
Hasa kama watu wengi HAWAINUNUI DOLA kwa PUPA!

Labda kwa sasa kuna watu WANAONUNUA DOLA SANA na kwa PUPA.basi lazima tu thamani ishuke. Mpaka hapo BANKI kuu ITAKAPOGUTUKA!
 
Hongera wewe Shige2 umekuja na hoja yenye maana.....

sasa kuna baadhi wamekuja kisiasa wanasema natafuta kiki....ukiangalia comment yake ni pumba
 
Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,464
2,000
Rate ya Dola US $ VS Tshs leo imezidi kuwa kizungumkuti, Why?

Ndio Uchumi umekuwa hivyo? Je itaongeza mfumuko wa bei au itapunguza?

1 US $ = 2180 US $.

Wachumi Tanzania, why?

Wachumi UDSM, vipi au mnapenda sana siasa...!

Wachumi eee....

Idadi ya watalii imeongezeka according to Honourable Maghembe

Watalii Matajiri wamekuja wangapi kuleta Dola?

Honorable Mpango, vipi...VAT kwenye Tourism imeongeza Dola...$?
Hapana mkuu thaman ya pesa yetu inapanda tumetoka huko tangu wiki jana wiki hii tupo hapa 1usd =2174.94Tsh hadi leo sahizi
 
Mipangomingi

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
2,712
2,000
Kwa mtazamo wangu naona NI VIZURI sana sana kushuka kwa thamani ya pesa yetu katika SOKO la fedha la KIMATAIFA.

Uzuri ni kuwa watanzania Wafanya BIASHARA wanao EXPORT/ uza nje watapata FAIDA kubwa zaidi na hivyo kuweza KULIPA kodi/ushuru wa serikali bila shida na hivyo nchi kufanikiwa.

Kama una habari, Rais mteule wa Marekani AMEIONYA China kuwa ina MCHEZO wa MAKSUDI wa KUISHUSHA thamani ya pesa yake ili NCHI YAKE IFAIDIKE!
Na ni kweli China ni MANIPULATORS wa currency yao wakubwa sana.

Kwa hivyo mkuu hakuna kitakacho panda bei. Isipokuwa kwa vituVINAVYOAGIZWA toka nje ya nchi. Na Mtanzania wa kawaida saa ngapi ataenda kununua imported goods si wale tu WALIONAZO nao ni WACHACHE?

Itafika wakati itabaki katika kiwango hitajika.
Hasa kama watu wengi HAWAINUNUI DOLA kwa PUPA!

Labda kwa sasa kuna watu WANAONUNUA DOLA SANA na kwa PUPA.basi lazima tu thamani ishuke. Mpaka hapo BANKI kuu ITAKAPOGUTUKA!
Yes, wakati mwingine ni jambo jema lakini jiridhishe vizuri na uelewa wako wa hiyo "currency devaluation" unayoizungmzia, whether a market force or central bank policy? and if yes, why? if no then what? utatusaidia kuelimika ndugu.
 
Gurta

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
2,239
2,000
Last week £1 ilikuwa 2310, leo ni 2235-2240 TZS. FYI Hiyo ni dalili ya kuimarika kwa sarafu yetu.
 
MgonjwaUkimwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
1,309
2,000
1: Ifahamike kwamba kupanda au kushuka kwa thamani ya fedha yetu dhidi ya dola hakuna maana ya kuanguka kwa uchumi au kupanda kwa uchumi. Uchumi haupimwi kwa kaungalia kupanda au kushuka kwa thamani ya fedha, uchumi upimwa kwa kuangalia pato la taifa (GDP).

2: Sambamba na hilo hapo juu kupanda kwa thamani ya fedha yetu kunaweza kuathiri kukua kwa uchumi wetu kwa kusababisha bidhaa zetu zisiuzike (kumbuka kupanda kwa thamani ya fedha yetu manake ni kupanda kwa bei ya bidhaa zetu na hivyo kupata wanunuzi wachache assuming wanunuzi wako sensitive na bei zetu). Kinyume chake pia ni sahihi, shilingi ikishuka thamani inaweza kukuza uchumi maana unavuta wanunuzi wa bidhaa zetu kwenye soko la dunia ambalo liko reasonably competitive.

3: Ili uchumi ukuwe kwa nchi masikini kama Tz ambayo haiwezi ku-affect international market kupitia bidhaa zake lazima uzalishaji wa mazao ya export yaongezeke ili Tz iweze kuuza zaidi ili ku-offset impacts za currency appreaciation and depreciation.
 
LadyAJ

JF-Expert Member
Oct 21, 2015
7,146
2,000
Tatizo la kudhani tunajua hata tusiyoyajua.Thamani ya Shilingi hukua kwa kutegemea thamani ya bidhaa mnazouza kama nchi kulinganinisha na manunuzi yenu.Eleza nini kimeongezeka katika uzalishaji,na inachukua muda gani kuongeza au kupunguza mauzo na manunuzi.

Thamani itakapoongezeka utakuja jukwaani kutoa maelezo au utanyamaza kama mlivyonyamza mabadiliko ya bei ya sukari?
Hivi sukari imeshuka mpaka ile ile 1800 ama ni mabadiriko yapi?
Rate ya Dola US $ VS Tshs leo imezidi kuwa kizungumkuti, Why?

Ndio Uchumi umekuwa hivyo? Je itaongeza mfumuko wa bei au itapunguza?

1 US $ = 2180 US $.

Wachumi Tanzania, why?

Wachumi UDSM, vipi au mnapenda sana siasa...!

Wachumi eee....

Idadi ya watalii imeongezeka according to Honourable Maghembe

Watalii Matajiri wamekuja wangapi kuleta Dola?

Honorable Mpango, vipi...VAT kwenye Tourism imeongeza Dola...$?
 
kipumbwi

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
2,329
2,000
Kwa mtazamo wangu naona NI VIZURI sana sana kushuka kwa thamani ya pesa yetu katika SOKO la fedha la KIMATAIFA.

Uzuri ni kuwa watanzania Wafanya BIASHARA wanao EXPORT/ uza nje watapata FAIDA kubwa zaidi na hivyo kuweza KULIPA kodi/ushuru wa serikali bila shida na hivyo nchi kufanikiwa.

Kama una habari, Rais mteule wa Marekani AMEIONYA China kuwa ina MCHEZO wa MAKSUDI wa KUISHUSHA thamani ya pesa yake ili NCHI YAKE IFAIDIKE!
Na ni kweli China ni MANIPULATORS wa currency yao wakubwa sana.

Kwa hivyo mkuu hakuna kitakacho panda bei. Isipokuwa kwa vituVINAVYOAGIZWA toka nje ya nchi. Na Mtanzania wa kawaida saa ngapi ataenda kununua imported goods si wale tu WALIONAZO nao ni WACHACHE?

Itafika wakati itabaki katika kiwango hitajika.
Hasa kama watu wengi HAWAINUNUI DOLA kwa PUPA!

Labda kwa sasa kuna watu WANAONUNUA DOLA SANA na kwa PUPA.basi lazima tu thamani ishuke. Mpaka hapo BANKI kuu ITAKAPOGUTUKA!
95% ya bidhaa nchini ni imported,kuanzia vya kukatia kucha,vijiti vya meno,vya maskio na hadi toilet paper!!
 
Chupaku

JF-Expert Member
Oct 15, 2008
1,091
1,500
Mbona sasa ni angalau, ilifika mpaka 2,200. All in all ni kubwa but at least sio 2,200
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,290
2,000
Rate ya Dola US $ VS Tshs leo imezidi kuwa kizungumkuti, Why?

Ndio Uchumi umekuwa hivyo? Je itaongeza mfumuko wa bei au itapunguza?

1 US $ = 2180 US $.

Wachumi Tanzania, why?

Wachumi UDSM, vipi au mnapenda sana siasa...!

Wachumi eee....

Idadi ya watalii imeongezeka according to Honourable Maghembe

Watalii Matajiri wamekuja wangapi kuleta Dola?

Honorable Mpango, vipi...VAT kwenye Tourism imeongeza Dola...$?
Mkuu kwa faida ya JF tufahamishe kabla ya hapo ilikuwa kiasi gani?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom