Shilingi yetu yazidi kuporomoka, matunda ya siasa uchwara

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Nadhani umefika muda wa kuongea ukweli na kuacha siasa kutawala mihimili yote ya kiutendaji! Ni jambo la kushangaza sana kuona kila kukicha shilingi inapoteza thamani, kwa wale wenzangu na mimi tulishuhudia wiki iliyopita thamani ya usd 1 ikinunuliwa tzs 1860.00, baada ya kuona mambo si mambo, central bank ikapop in dollars kuimprove mambo kweli ilishuka hadi tzs 1610, na hii ilikuwa siasa tu kwani pesa yetu ili ipate nguvu sio kwa staili moja tu iliyotumiwa na bot,jana tumefunnga na usd1=tzs 1810.00
,
tutaendelea kuteseka na shilingi yetu kupoteza thamani iwapo tutashindwa kujijengea uwezo wetu wa ndani, kama almost 70% ya mahitaji yote ya ndani lazima tuagize nje matokeo yake ni nini?? Na kama mtanzania au mgeni anaweza kupata huduma kndani ya tanzania kwa kutumia dollar, means we are increasing a demand of usd bila mantiki yoyote ya msging!na hii ni siasa ndo zinatufikisha hapo!!!!!!!!!!!!!
 
Ccm hoyeee!
Hawawezi kukusikia, wapo busy wanahangaika na mpasuko wa chama na kuvuana magamba.
 
Nkuunga mkono.Utumiaji wetu wa mnafuta ukiboreshwa au kupunguzwa itasaidia sana la sivyo hamna cha maana.
 
in economic point of view, demand increase is direct propotional to the increase of price but when supply increase the vice versa is true, if we are performing our transactions using dollars, we are automatically increasing the price of it, if we are importing a number of goods from abroad, we need foreign currencies to settle the said transactions,
,
what are roles and responsibilities of the govanor, minister of finance and their surbodnates???shame on us,last week we traded at 1610, three days after we are trading at 1810?means we are enxperience the increse of almost tzs 200 per each dollars?this justfy how the dollars is highly demanded here in town!mr president where are we going?is Tanzania an autopilot country??jamani tuamke na tupinge haya mambo kama watawala wameshindwa kufanya kazi yao!
 
tulimuona msemaji wa wizara akiimba taarabu juu ya speculators, what we need is action not song with no beats and chorus, we need the body to take action, we need the body to decrease spending, we need president to cut down the number od deligation and unnecessary safaris!we need to re-build our internal capacities, we need to invest in our people, we need our economists to be heared!we need changes in the whole system, we are totally failed to bring hope to our deraest tanzanians,
 
tulimuona msemaji wa wizara akiimba taarabu juu ya speculators, what we need is action not song with no beats and chorus, we need the body to take action, we need the body to decrease spending, we need president to cut down the number od deligation and unnecessary safaris!we need to re-build our internal capacities, we need to invest in our people, we need our economists to be heared!we need changes in the whole system, we are totally failed to bring hope to our deraest tanzanians,
...Ili matokea ya kufanya biashara ya hela kwa speculation yaonekane wazi, lazima uchumi uwe dhaifu, tena sana. Mbona speculative trading huko duniani ni ya hali ya juu toka miaka na miaka, lakini hatuyaoni kama haya yakitokea?

...Maelezo ya huyo jamaa yana walakini sana. Tunatibu dalili za ugonjwa, tukiliacha gojwa kuzidi kuwa sugu. We will pay for this, in the very near future.
 
Back
Top Bottom