Shilingi ya Kenya kutumika Amazon

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,516
47,740
Kampuni ya Wester Union na Amazon wameingia kwenye mapatano ya kuhusisha shilingi ya Kenya kwenye manunuzi, hii ni baada ya kutambua umuhimu wake maana nchi hii sasa ipo kwenye ligi mpya.
--------------------------

Cross-border currency movement company Western Union and US tech giant Amazon have entered into a partnership that will allow Kenyans to use local currency to pay for products sold on the e-commerce platform.
The deal is aimed at widening Amazon’s customer base in the country by bringing on board clients who were locked out by hitches on the payment platform, which do not allow transactions in local currencies.
Similar partnerships are already working in nine other countries across the globe including in Chile, Colombia, Hong Kong, Indonesia, Malaysia, Peru, Philippines, Taiwan and Thailand.
The e-commerce firm, owned by billionaire Jeff Bezos, recently launched a cross-border payment option dubbed ‘PayCode’ that processes complex foreign exchange, settlement and money movement requirements for international transactions.
After selecting PayCode on Amazon.com checkout page, online shoppers are sent a code with instructions on how to pay in person at a Western Union agent.
The move is expected to provide greater access to online goods for customers who were previously excluded from e-commerce due to lack of accepted payment methods.
“We’re helping to unlock access to Amazon.com for customers who need and want items that can only be found online,” said Khalid Fellahi, Senior Vice President and General Manager of Western Union Digital.
The two companies said they intend to avail more convenience and choice in a world where cross-border buyers and sellers are often located on different continents and in completely different financial ecosystems.
“Amazon is committed to enabling customers shop on our platform, and a big part of that is to allow customers to pay for their cross-border online purchases in a way that is most convenient for them,” said Ben Volk, Director, Payment Acceptance and Experience at Amazon.

https://www.theeastafrican.co.ke/business/Kenyans-can-now-use-shilling-on-Amazon/2560-4979674-av884xz/index.html
 
Hapa itabidi hata jirani zetu nao pia waikumbatie KES, karibuni sana. Feel at home.
Maybe mipakani lakini kwa mtu wa Dar es salaam kwanini aikumbatie ikiwa kuipata kwake ni sharti aende Bureau De Change au Bank ambako, kwa baadhi ya bank branches most traded currencies ni USD, EUR and STG!!

Anyway, I know Kenya are doing better kwenye online payment systems tena kwa freelancers kama mimi, nawaonea wivu sana lakini kwamba eti finally tutaikumbtia KES, uwezekano wake ni mdogo sana!
 
Hivi hao amazon wanasaidiaje kuinua uchumi kwa kuihusisha KES? Mtakuwa mmekwepa usumbufu wa kubadilishana na dollar ila hapo sioni jipya maana exchange rate itabaki pale pale.
 
Maybe mipakani lakini kwa mtu wa Dar es salaam kwanini aikumbatie ikiwa kuipata kwake ni sharti aende Bureau De Change au Bank ambako, kwa baadhi ya bank branches most traded currencies ni USD, EUR and STG!!

Anyway, I know Kenya are doing better kwenye online payment systems tena kwa freelancers kama mimi, nawaonea wivu sana lakini kwamba eti finally tutaikumbtia KES, uwezekano wake ni mdogo sana!
Hela ya madafu ya Zimbabwe ilipoangukia pua hawakuwa na budi ila kuikumbatia Rand ya RSA. Tunawapenda sana watani wetu, acha KES iwe plan B yenu, sarafu ambayo ina confidence kimataifa. Maanake Tzsh inaendelea kuyeyuka kila uchao. Hatutamind sana, I swear.
Haitokaa itokee
 
Kwani hapo mwanzoni ukiwa na akaunti ya KES ulikuwa huwezi kufanya online shopping?

Mbona nna accountya TZS na nafanya shoppirn online kiroho safi tu...

Au sijaielew habari?
 
Kampuni ya Wester Union na Amazon wameingia kwenye mapatano ya kuhusisha shilingi ya Kenya kwenye manunuzi, hii ni baada ya kutambua umuhimu wake maana nchi hii sasa ipo kwenye ligi mpya.
--------------------------

Cross-border currency movement company Western Union and US tech giant Amazon have entered into a partnership that will allow Kenyans to use local currency to pay for products sold on the e-commerce platform.
The deal is aimed at widening Amazon’s customer base in the country by bringing on board clients who were locked out by hitches on the payment platform, which do not allow transactions in local currencies.
Similar partnerships are already working in nine other countries across the globe including in Chile, Colombia, Hong Kong, Indonesia, Malaysia, Peru, Philippines, Taiwan and Thailand.
The e-commerce firm, owned by billionaire Jeff Bezos, recently launched a cross-border payment option dubbed ‘PayCode’ that processes complex foreign exchange, settlement and money movement requirements for international transactions.
After selecting PayCode on Amazon.com checkout page, online shoppers are sent a code with instructions on how to pay in person at a Western Union agent.
The move is expected to provide greater access to online goods for customers who were previously excluded from e-commerce due to lack of accepted payment methods.
“We’re helping to unlock access to Amazon.com for customers who need and want items that can only be found online,” said Khalid Fellahi, Senior Vice President and General Manager of Western Union Digital.
The two companies said they intend to avail more convenience and choice in a world where cross-border buyers and sellers are often located on different continents and in completely different financial ecosystems.
“Amazon is committed to enabling customers shop on our platform, and a big part of that is to allow customers to pay for their cross-border online purchases in a way that is most convenient for them,” said Ben Volk, Director, Payment Acceptance and Experience at Amazon.

https://www.theeastafrican.co.ke/business/Kenyans-can-now-use-shilling-on-Amazon/2560-4979674-av884xz/index.html

Mi naona Afadhaali tutie saini ile EPA na EU ..... Manake nimegundua vitu vya China hua ni rahisi kiasi cha kua hizo custom dutty hazi wa affect....

Dec 2018 nili order Laptop mpya, Nilianza na kuzunguka Amazon.uk mpaka nikapata ile niliotaka, Nilipokua nataka ku check out, Nikagundua shipping fee ni $50 (ksh 5000), Ikabidi nifanye comparizon na kina Jumia na Kilimall, Nikazunguka hadi nikapata Laptop kama hio kwa Kilimall ambayo walikua wana ship from China.... Shipping fee Ksh200!!!!!!!! Yani tunaimport vitu vingi kutoka China hadi tunajaza meli nzima ..economies of scale inafanya shipping cost iwe rahisi, Tofauti na kusafirisha bidhaa kutoka EU. unakuta mizigo ni michache sana inabidi zitumwe na DHL kutumia ndege hakuna option ya meli... Lakini EU wako more accountable unakuta warranty ni ndefu na ya kuaminika pia return policy yao iko established..... Mchina aliniletea Laptop ambayo user manual na Warranty zimeandikwa kichina!!! mpaka unaaza kushuku kama ni genuine, ilibidi nivunje seal na kufungua ndani ku confirm serial number ya Motherboard
 
Hela ya madafu ya Zimbabwe ilipoangukia pua hawakuwa na budi ila kuikumbatia Rand ya RSA. Tunawapenda sana watani wetu, acha KES iwe plan B yenu, sarafu ambayo ina confidence kimataifa. Maanake Tzsh inaendelea kuyeyuka kila uchao. Hatutamind sana, I swear.
Sasa unalinganisha pesa ya died economy na ile ya active economy? You can't be serious!!! Btw, unamaanisha nini unaposema pesa inaendelea kuyeyuka kila siku?! I repeat, there's no way KES inaweza kuwa mbadala wa TZS
 
Acha hasira jombaa, KES itakuwa hapa mkianza kubeba hela yenu ya madafu na 'wheelbarrow', kwenye shughuli zenu za kibiashara za kila siku. Nikisema inayeyuka namaanisha thamani ya Tzsh inaendelea kushuka kila uchao. We are here for you watani wetu wa jadi. Hahaha! :D
 
Shilingi ya Tanzania inashuka dhidi ya nini Mpwa?! Lau kama ungeamua kuwa objective, ungefahamu kwamba usemalo will never happen!

Kinachotokea kwa TZS dhidi ya USD is just depreciation! Currency Depreciation ni jambo la kawaida kwa currency yoyote ile inayoachiwa ku-float freely! Hata KES, mwishoni mwa mwaka jana iliporomoka sana dhidi ya USD!! Kwanza kwa sie wengine, hii manageable deppreciation kwetu ni opportunity, and YES, I mean it! Halafu mkuu naona unachanganya mambo labda kwavile huna uelewa wa haya mambo! Ukiona watu wanafikia kubeba pesa kwenye mifuko ya rambo kwenda kununua bidhaa, hayo ni matokeo ya hyperinflation na sio depreciation! Leo hii kilo ya unga wa mahindi ni TZS 1000, wakati buying rate ya USD ni roughly TZS 2,400. Sasa kama next week buying rate ya USD itafikia TZS 100,000/= wakati bei ya unga ni ile ile TZS 1,000/=; hakuna atakayelazimika kubeba TZS kwenye mfuko kwenda kununua unga wakati unga bado ni TZS 1,000/=!

In contrary, pakitokea hyperinflation, kwa mfano huo huo hapo juu, wiki hii buying rate ya USD ni TZS 2,400 wakati kilo ya unga wa mahindi ni TZS 1000. A week later, buying rate ya USD inaweza kuwa TZS 1000 lakini unga wa mahindi ukafikia TZS 100,000/=! Hapo ndipo watu wanaweza kubeba TZS kwenye viroba kwenda kununua bidhaa! Alternatively, kwavile trader hawezi kutenga chumba cha kuweka pesa peke yake kwa biadhaa anazouza, ndipo ataamua kuuza unga wake kwa USD!!

Now tell me; kuna mazingira ya kutokea hyperinflation hapa Tanzania kiasi waamue kugeukia foreign currencies?!
 
Wewe bwana ulitakiwa CCM wakupe kazi ya Nape, jinsi ulivyotumalizia MB zetu , kumbe unazunguka mbuyu tuu, bongera lakini ukweli uko pale pale
 
Kuzunguka mbuyu kivipi?! Au na wewe unataka kuchanganya kati ya currency depreciation na inflation? This's not politics jomba, it's economics! Currency depreciation ni kushuka thamani kwa sarafu wakati inflation ni mfumuko wa bei! Ni inflation, 2b specific ni hyperinflation ndiyo inaweza kusababisha watu watembee na viroba vya pesa kununua huduma ile ile ambayo hapo kabla ilitosha pesa kuiweka mfukoni na kwenda kuilipia!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom