Shilingi trilioni 22.99 zatengwa bajeti mpya

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12644975_1033457266718731_714615202370306135_n.jpg
 
Kila mwaka wanatamka tu matrilioni lakini mpaka mwisho wa hizo bajeti hata robo ya hela husika inskuwa haijatoka. Ni vema wakajadili kwa matrilioni ya bajeti iliyopita kama ilitekelezwa kwa asilimia ngapi.
 
Hee wewe uko wapi Mwaka huu siyo ile kila mwaka. Amka kutoka usingizi huo wa pono!
 
Naomba kujua, bajeti hii itakuwa na utegemezi wa wafadhiri wa nje kwa asimia ngapi?
 
Nchi yetu budget kila mwaka ni ile ile? miaka miwili iliyo pita hakuna ongezeko lolote? kila mwaka trilion 22, pamoja na ongezeko la uwekezaji wa gas nk bado tunacheza na budget kama hii, hata dangote bado hatujamkamata, tunahitaji uwekezaji, nilidhani mwaka huu tutafika atleast trioni 30 .
 
Back
Top Bottom