Shilingi imeimarika? Kwanini serikali inapenda kusema uongo hata kwa mambo yaliyo wazi?

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Kwanini serikali inapenda kusema uongo hata kwa mambo yaliyo wazi? Waziri wa fedha amesema kuwa sarafu yetu (shilingi) imezidi kuimarika dhidi ya dola kwa mwaka huu wa fedha unaoishia. Huu ni uongo wa wazi kabisa. Ukweli ni kwamba shilingi imezidi kuporomoka maradufu dhidi ya dola kwa kipindi cha mwaka huu wa fedha.

Kwa mujibu wa records za BOT, tarehe 1 July mwaka jana thamani ya dola moja ya Marekani ilikua sawa na TZS 2,126.07/= (bei ya kuuzia), leo tarehe 29 mwezi May 2017, dola moja ya Marekani ni sawa na TZS 2,280.80/= (bei ya kuuzia). This means sarafu yetu imeporomoka kwa 7.2% dhidi ya dola ya kimarekani.

Sasa Waziri Mpango anaposema sarafu imeimarika anamaanisha nini? Uongo huu ni kwa faida ya nani? Kama serikali inaweza kusema UONGO kwenye mambo yaliyo wazi kama haya, vp kwa yale yasiyo wazi?? Kwanini mnatafuta credit kwa kusema uongo? Mkisema ukweli mtapoteza nini? Shame on u.!!
 
Mkuu utakuwa haujamuelewa vizuri profesa anamaanisha kama July mwaka jana tulikuwa tunanunua sukari kilo moja shs. 2200 - 2400 sasa ni 2700 mpaka 3000 ni kweli shilingi imeimarika sana hapo au wewe hulioni hilo mkuu? :D:D:(
 
Mkuu nieleweshe na mimi
Mkuu ukielewa kwanini wakati wa Ambilikile Mwasapile walitengeneza barabara ili watu wakapige kikombe cha dawa yenye sumu ili kujisahaulisha matatizo ya umeme na uchumi unaodidimia!! Huwezi kushindwa kujua kwanini sisi Profesa inashindikana kumuelewa!!! Liko tatizo zaidi ya "mpango" dude limeshazeeka sana lakini linataka kuendelea kutawala!!! :D:D:D
 
Kwanini serikali inapenda kusema uongo hata kwa mambo yaliyo wazi? Waziri wa fedha amesema kuwa sarafu yetu (shilingi) imezidi kuimarika dhidi ya dola kwa mwaka huu wa fedha unaoishia. Huu ni uongo wa wazi kabisa. Ukweli ni kwamba shilingi imezidi kuporomoka maradufu dhidi ya dola kwa kipindi cha mwaka huu wa fedha.

Kwa mujibu wa records za BOT, tarehe 1 July mwaka jana thamani ya dola moja ya Marekani ilikua sawa na TZS 2,126.07/= (bei ya kuuzia), leo tarehe 29 mwezi May 2017, dola moja ya Marekani ni sawa na TZS 2,280.80/= (bei ya kuuzia). This means sarafu yetu imeporomoka kwa 7.2% dhidi ya dola ya kimarekani.

Sasa Waziri Mpango anaposema sarafu imeimarika anamaanisha nini? Uongo huu ni kwa faida ya nani? Kama serikali inaweza kusema UONGO kwenye mambo yaliyo wazi kama haya, vp kwa yale yasiyo wazi?? Kwanini mnatafuta credit kwa kusema uongo? Mkisema ukweli mtapoteza nini? Shame on u.!!
Huwa wanamaanisha kwenye mifuko yao sio yako.thinkbad
 
labda anamaanisha imekuwa ngumu baada ya kutoa mia tano za noti na kuweka sarafu ila kwa minajili ya thamani hayo mawazo yake ni ya kimakinikia na kuchenjua tu
 
Back
Top Bottom