Shilingi imegeuka, sasa wadada wananunua penzi

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,506
Wakuu wazima...

Sasa shilingi imegeuka upande wa pili, ikiw na maana sasa wadada wananunua penzi.

Hapo awali shilingi kabla haijageuka, vidume walipata tabu sana.

Yani kama huna senti basi kwisha habari yako, ila sasa ngoma droo.

Saivi hata kama huna senti kidume wewe shoo yako iwe karee tu.

Saivi si wanaume wala wadada wananunua penzi, tena wadada wanashika nafasi ya kwanza.

Maana saivi kiumbe mwanaume kapotea hataree, hivyo hamna namna wananunua tu.

Yani saivi raha tu kidume unalambwa miguu tu ili tu ukubali.

Na bado wanaadimika hawa viumbe wa kiume, wadada watanyooka.

Doncute
 
Watanyooka au mtanyooka!!! Wewe ni Me?

Sasa si utaje na machimbo ili mabaharia wazamie! Maana umewatamanisha kiasi mate yanawadondoka tu muda huu.
 
Wakuu wazima...

Sasa shilingi imegeuka upande wa pili, ikiw na maana sasa wadada wananunua penzi.

Hapo awali shilingi kabla haijageuka, vidume walipata tabu sana.

Yani kama huna senti basi kwisha habari yako, ila sasa ngoma droo.

Saivi hata kama huna senti kidume wewe shoo yako iwe karee tu.

Saivi si wanaume wala wadada wananunua penzi, tena wadada wanashika nafasi ya kwanza.

Maana saivi kiumbe mwanaume kapotea hataree, hivyo hamna namna wananunua tu.

Yani saivi raha tu kidume unalambwa miguu tu ili tu ukubali.

Na bado wanaadimika hawa viumbe wa kiume, wadada watanyooka.

Doncute

Njoo uninunue aisee nikufaidi.
 
Af ni litoto la kike limeandika

Back
Top Bottom