Royal wamekirudisha? Washe wakubwa, siwataki kabisaPoor mtandao nimehama majuzi...wanamabando makubwa na mazuri lakini Internet iko week Sana. Internet gani Hadi usubiri usiku wa manane ndio inakuwa strong?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mwana unaonekana mtu wa vimwana sana, Namwona Mage kapigiwa kwa namba mbili tofauti. Pia Fatma nae anatengenezewa mazingira na kati yao kuna mmoja umemuhaidi simu ya Tecno Spark Air.Hawa jamaa wapo vizuri ni mtandao wa wanyonge kweli, wanajitahidi sana
Imagine shilingi 50 unapata sms 50 masaa 24 ambapo ukilipa kwa halopesa unalipia shilingi 47 unapata kifurushi cha sms 50 masaa 24
View attachment 1833454
Ibu halopesa na ikafanya kazi ni liniHawa jamaa wapo vizuri ni mtandao wa wanyonge kweli, wanajitahidi sana.
Imagine shilingi 50 unapata sms 50 masaa 24 ambapo ukilipa kwa halopesa unalipia shilingi 47 unapata kifurushi cha sms 50 masaa 24
View attachment 1833454