SHILAWADU liingizwe kwenye Kiswahili?

Felix King Zaman

Senior Member
Aug 6, 2016
125
117
Samahan kwa kupost hii hojq humu.. Naomba mawazo yenyu
Hivi neno SHILAWADU ambalo tumelitumia sana jamii forums na kibongobongo mitaani..Linafaa kuingia katika lugha ya kiswahili?
Kuna uwezekano SHILAWADU likafanywa kuwa kisawe cha WAMBEA?
 
Ni neno la kihuni tu lakuvutia mashabiki wenye picha ya yule jamaa anaevaaga lisoksi usoni atupie nimfahamu maana sijawai kumuona hajavaa lisoksi usoni
 
Samahan kwa kupost hii hojq humu.. Naomba mawazo yenyu
Hivi neno SHILAWADU ambalo tumelitumia sana jamii forums na kibongobongo mitaani..Linafaa kuingia katika lugha ya kiswahili?
Kuna uwezekano SHILAWADU likafanywa kuwa kisawe cha WAMBEA?

Kamuone oni sigara umpe hayo mawazo yako.
 
Back
Top Bottom