Shikamooni vodacom internet jijini Tanga

shortlisted1

JF-Expert Member
Apr 2, 2014
352
127
Nipo jijini TANGA kwa muda kidogo...ukiacha mambo mengine yaliyonifurahisha ni hii SPEED kali ya INTERNET ya VODACOM niliyokutana nayo hapa...yaani nime-download movie ya 1.2 gb kwa dakika 5 tuu. Safi saana hii.
 
Kifurushi gani umeunga??
 
Back
Top Bottom