Shikamoo Simba SC kwa Uchawi nilihakikishiwa Mvua ikinyesha Asubuhi leo Yanga SC anafungwa na inanyesha kweli sasa

Asante CEO Barbara Gonzalez na Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah 'Try Again' kwa Kusikiliza Ushauri wa Wanachama na Kazi imeshamalizika hivyo leo wana Simba SC tunaenda kupata Furaha ya Ushindi.

Kwa Uchawi uliofanyika, Umakini mkubwa wa Kuificha Timu, na Watu Kulishana Yamini ili kutunza Siri na Kutosalitiana, kutafuta Wataalam makini na kuwapa Pesa yao waitakayo na kwa Mshikamano wetu nimeamini Simba SC ni Nguvu Moja kweli.

Jana usiku kuna Mtu Mmoja wa Kamati ya Uchawi na Fitna wa Simba SC aliniambia kuwa leo kati ya Saa 12 hadi Saa 4 Asubuhi nitaona ama Mvua au Manyunyu na nikiyaona tu jua Kazi imeshamalizika na Kukamilika hivyo Yanga SC anafungwa na kweli hilo limetokea na nimelishuhudia Mubashara.

Asanteni Simba SC Matawi ya Morogoro, Kikwajuni Zanzibar, Tanga, Ruvuma, Tabora na Dar es Salaam hakika Kazi yenu mmeifanya na KEROZENE nimeishuhudia. Watake wasitake Yanga SC wanakufa na wakiponapona basi wataambulia tu Sare.
Hiki ni kipindi cha mvua jinga wewe
 
Oya Genta, Wakati mnatambika mkumbuke GSM ameshalipia posho kwa Marefarii wote, sasa tuone nani zaidi. Sasii anaweza kataa goli na kusema ni kona hiyo au anaweza kupiga filimbi ya offside kila mnapoingia kwenye eneo la goli la Yanga..
 
Oya Genta, Wakati mnatambika mkumbuke GSM ameshalipia posho kwa Marefarii wote, sasa tuone nani zaidi. Sasii anaweza kataa goli na kusema ni kona hiyo.
Si jambo la ajab. So halitashangaza hata kidogo. Ni moja ya mikakati ya klabu yetu Wananchi.
 
Yaani we dogo genta una umavi mwingi sana kichwani.

Kungekuwa na uchawi uwanjani basi tungekuwa tunaona vingi na Nijeria wanachukua kombe la dunia.

Au tungeona enyimba au tp mazembe ni mabingwa kila mwaka.

Fala sana wewe dogo.

Subiri leo tukusokomeze 2 kavu halafu uje hapa jioni kuangalia uharo wako.
Movies za Kinaijeria zimekuaminisha kuwa kwao ndio kuna uchawi mkubwa kuliko popote duniani!!??
Pole sana.
 
Miongoni mwa mambo yanayofanya tuwe nyuma kwenye nyanja zote ni haya mambo ya kishirikina.

Vv
 
Back
Top Bottom