Hakuna wateja, kwa siku nilikua ninauza wastani wa laki 4 hadi 5
yani graph ya mauzo imeshuka balaa kwa mwezi wa 5 wote, sikuwahi kuuza zaidi ya elfu 40 kwa siku,duh ama kweli biashara ni wateja.
Leo tarehe 1/6/ 2016 nimeamua kuifunga hii bar rasmi, ni hasara tupu kuendelea na hii biashara.
Shikamoo tena awamu ya 5, nilikuwa mfanyabiashara mdogo mwaminifu, na sikuwahi kukwepa kulipa kodi.
RIP bar yangu pendwa iliyodumu kwa miaka 7.