Shikaaamooo Mwaliiiiim

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,833
155,780
Zamani zetu zile Mwalimu akiingia darasani tulikuwa tunainuka na kusema Heshima na utii, tukiwa shuleni na nyumbani Shikaaaaamooooooooo Mwaliiiiiiiiiim huku dole gumba likiwa kwenye paji la uso.
Pia tulikuwa tukicheza sana vinyengo (mpira wa karatasi), magari ya waya na dagio.
Kila mwanafunzi alikuwa na kiunga chake ambacjho alikuwa akikifagia kila siku na kiunga kingine kilikuwa cha maua. mnashindana nani anamaua mengi na mazuri.
Siku zilikuwa ni nzuri sana, na saa nne tulikuwa tunakunywa uji wa bulga.
 
Umenikumbusha siku nyingi sana.
Shati la tetroni, kaptura ya jinja na raba mtoni.
:A S-heart-2:
 
Zamani zetu zile Mwalimu akiingia darasani tulikuwa tunainuka na kusema Heshima na utii, tukiwa shuleni na nyumbani Shikaaaaamooooooooo Mwaliiiiiiiiiim huku dole gumba likiwa kwenye paji la uso.
Pia tulikuwa tukicheza sana vinyengo (mpira wa karatasi), magari ya waya na dagio.
Kila mwanafunzi alikuwa na kiunga chake ambacjho alikuwa akikifagia kila siku na kiunga kingine kilikuwa cha maua. mnashindana nani anamaua mengi na mazuri.
Siku zilikuwa ni nzuri sana, na saa nne tulikuwa tunakunywa uji wa bulga.

umenikumbusha mbali sana...ilikuwa ukikaa vibaya maua yako yote yanahamia kwangu
 
Enzi za kucheza twist ambazo siku hizi unacheza kiduchu mwishoni mwa sherehe ya harusi wakati wa kuitambulisha kamati ya harusi
 
Zamani zetu zile Mwalimu akiingia darasani tulikuwa tunainuka na kusema Heshima na utii, tukiwa shuleni na nyumbani Shikaaaaamooooooooo Mwaliiiiiiiiiim huku dole gumba likiwa kwenye paji la uso.
Pia tulikuwa tukicheza sana vinyengo (mpira wa karatasi), magari ya waya na dagio.
Kila mwanafunzi alikuwa na kiunga chake ambacjho alikuwa akikifagia kila siku na kiunga kingine kilikuwa cha maua. mnashindana nani anamaua mengi na mazuri.
Siku zilikuwa ni nzuri sana, na saa nne tulikuwa tunakunywa uji wa bulga.

Mkuu Bujibuji umenikumbusha mbali sana. Dagio = waya mwemamba sana wa kufungia nyaya kubwa wakati wa kutengeneza magari ya waya.
sijui kama siku hizi ipo hii kitu!
 
Mkuu mbona umetoa kiima tu? nasubiri ujumbe unaofuata au ndo mwisho wa story?
 
Rede/kombolena/byshuu/ mikahawa nayo ilikuwa inapata marafiki.....lol umenikumbusha mbali sana...
 
Nilifumaniwa na baba nikiwa nakadinya katoto ka jirani.
Baba akaniuliza mnafanya nini hapo? Nikajibu tunacheza mchezo wa jogoo kampanda kuku.
Nilichapwa fimbo zisizo na idadi, halafu nikaambiwa wataikata hii dudu ili nisifanye tena.
Baada ya hapo mapenzi yetu yakawa kama yametiwa mbolea, kila siku ni kusuguana tu.
 
........mmmmmh mkuu ulikuwa unatisha.....
 
Zamani zetu zile Mwalimu akiingia darasani tulikuwa tunainuka na kusema Heshima na utii, tukiwa shuleni na nyumbani Shikaaaaamooooooooo Mwaliiiiiiiiiim huku dole gumba likiwa kwenye paji la uso.
Pia tulikuwa tukicheza sana vinyengo (mpira wa karatasi), magari ya waya na dagio.
Kila mwanafunzi alikuwa na kiunga chake ambacjho alikuwa akikifagia kila siku na kiunga kingine kilikuwa cha maua. mnashindana nani anamaua mengi na mazuri.
Siku zilikuwa ni nzuri sana, na saa nne tulikuwa tunakunywa uji wa bulga.

Nakumbuka tulikuwa tunapeleka debe la mbolea ya samadi kila wiki... na kulima tuta la mita 50 shambani wakati wa msimu wa kulima.. na kumwagia bustani ya nyanya...(hela yote ya mavuno wanalamba maticha)... nakumbuka nilianza kwa kuwa wa 5 toka mwisho darasani.. nilikoswakoswa mara kadhaa na kwa kuiba maembe..
nakumbuka tulivokuwa tunaugawa uwanjwa shule tucheze mpira wasembo(nailoni au soski) mapumziko ya saa nne..!!:crying:Miss those time ... it was funnnnnn!!!
 
Enzi za redio bila TV, kutwa kusikiliza idhaa ya taifa au ya biashara, gazeti linalovutia ni Mfanyakazi, ukumbi wa disco ni Mbowe Club, dansi nenda kumbi za DDC au nenda wapi wapi's bar na ukishindwa kabisa jongea mpaka lango la jiji. Mh natamani wakati urejee kidooogo.
 
Nakumbuka nilichapwa viboko kwa sababu jamaa mmoja alimuandia barua msichana mmoja darasani kisha chini akaweka jina langu.

nikasema siku mmoja nitalipiza nakumbuka siku hiyo tulienda kuangua mabuyu baada ya kutoroka shule kwani ilikuwa siku a kwenda shamba hivyo nilikuwa na panga jamaa nikamuomba twende pamoja na kumuambia amuachie panga lake msichana mmoja wa darasa letu siku hiyo baada ya kuangua mabuyu akataka aninyang'anye buyu moja nikamkata kidole gumba nikijifanya nimkata bahati mbaya mpaka sasa hana kidole ila wazazi walilichukulia kama suala la watoto walikuwa wanacheza hivyo hawakuniadhibu na wazazi wa jamaa wakamchukua mtoto wao wakampeleka hospitalini.
Nikikumbuka tukio hilo kweli mtoto wa mwezio ni wako ilikuwa kipindi hicho

mkasa mwingine sintosahau baada ya bibi kutaka kunichoma moto midomo yangu baada ya kumtukana mwalimu. mwalimu huyu alikuwa ananichukia sana baada ya kutembea na mwanaye tuliyekuwa darasa moja. Nakumbuka siku hiyo mtoto wake mdogo alichana kitabu cha kiswahili akaja darasani akaniambia nikusanye vitabu baada ya siku mbili akaniita ofisini kuwa vitabu nilivyokusanya kimoja nimekichana siku hiyo niliadhibiwa fimbo 18 nilichapwa 6 nikapumzishwa nikachapwa sita baada ya masaa 3 halafu tena sita baada ya hapo nikamtukana yule mwalimu na kumwambia kuwa sawa kwa uonevu anaonifanyia wakamuita bibi shuleni na kumueleza kuwa nimemtukana mwalimu bibi akachukua kijinga cha moto akataka kunichoma yule mwalimu akamnyang'anya bibi akacheka sana halafu akamwambia kumbe na wewe unauchungu na mtoto basi usingemchapa fimbo zote hizi hadi kukaa hawezi
 
Enzi za redio bila TV, kutwa kusikiliza idhaa ya taifa au ya biashara, gazeti linalovutia ni Mfanyakazi, ukumbi wa disco ni Mbowe Club, dansi nenda kumbi za DDC au nenda wapi wapi's bar na ukishindwa kabisa jongea mpaka lango la jiji. Mh natamani wakati urejee kidooogo.

Dah hapo palikuwa balaa maquiz..Bima lee..mzee makassy etc walikuwa wakibadilishana kiwanja hiki ila Wakina asosa ndo waliweka kambi kwa muda hapa..Enzi hizo burudani ilikuwa burudani kweli...Tatizo wakati nao hauwezi kujirudia if u got a second chance in life nadhan utaweza kurekebisha makosa mengi uliyoyafanya kabla
 
Duh nakumbuka nilimtandika binti mmoja kwa kosa la kuniita mchumba wake, baadae nlipoanza kufahamu uzuri wa hazina nilijilaumu sana lakini ikawa ni too late.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom