shigongo ameshaanza kuuza gazeti kwa kuhususha kifo cha sharo millionea na ..................

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
DSC06041-418x600.jpg DSC06043-432x600.jpg


 
Hivi hawa watu wanonunuaga magazeti ya huyo kanjanja wanaakili timamu kweli..
Jana nimeona moja ya magazeti yake likiwa na kichwa cha habari:

"SHARO MILIONEA LAZIMA ALIKUWA AFE"
 
Kibaya zaidi hata watu tunaowaita wasomi nao ni wateja wakubwa.
Si UDSM, UDOM, SAUT, TUMAINI, SJUT N.K.
Ongezea maofisini!!

Nafikiri inatoa picha sisi ni Taifa la watu gani........Pengine yanaakisi namna tulivyo!
 
gazeti la KIU na SANI hayamilikiwi na Shigongo
NI VEMA MTAMBUE JAMAA ANAFANYA BIASHARA
NA MAGAZETI YAKE NI YA WATU MAALUM
 
gazeti la KIU na SANI hayamilikiwi na Shigongo
NI VEMA MTAMBUE JAMAA ANAFANYA BIASHARA
NA MAGAZETI YAKE NI YA WATU MAALUM

ujaona na RISASI apo,ata kama ni biashara si kuandika habari za kizushi ili kuuza,mbona habari zipo nyingi tumeshachoka kila siku sasa hiv wajenz huru,ukipata pesa watasema ni sababu ya wajenz huru,ukiaga dunia pia wanasema
 
Kuna dada flani nina muheshimu sana nilimkuta na haya magazeti nilimshangaa.
Gazeti kama hilo risasi nina uwezo wa kuliandika lote kwa nusu saa kwa kutumia google.
 
Kuna watu wazima na akili zao utakuta wanalisoma likiwa katikati ya DAIL NEWS!! au gazeti lingine:becky:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom