Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Pesa kwanza ulokole baadaeEti mlokole shigongo
Hivi vigazeti upuuzi mtupu,kinyaa tu
Lakini wewe si ndio mshabiki mkuu wa habari za kijinga kijinga? Shigongo is Ur role modelbasi habari zitakuwa hiz kila siku na vichwa vya habari vya kubuni ili mradi wapige pesa bila kujua familia itajisikiaje
gazeti la KIU na SANI hayamilikiwi na Shigongo
NI VEMA MTAMBUE JAMAA ANAFANYA BIASHARA
NA MAGAZETI YAKE NI YA WATU MAALUM
Mnyakatari unlikes this rubbish!
Eti mlokole shigongo
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/359837-magazeti-ya-udaku-yatakavyoandika-baada-ya-kifo-cha-sharo-milionea.html ona thread niliyoweka siku chache baada ya Sharo kufa... nilitabiri kuhusu vichwa vya habari yya magazeti ya udaku..... sasa wameandika yale yale