senkoP
Senior Member
- Aug 28, 2017
- 161
- 174
Jamani kumezuka inshu ya mawasiliano kwenye simu kuwa magumu ivi tatizo ninini? Yaani unampigia mtu hamsikilizani na ukichek network kwenye simu iko full na mtu unayempigia yuko town au mtu anakuambia nimekupigia simu yko inaita lakin mbona hupokei ukichek kwenye simu yko hkn hata miss call…. .afadhari hata hili lkn hili la kupigia mtu nakutosikilizana huwa linakwaza sana… .na hii inshu imetokea sio chini ya miezi mitano sasa? Ni kero jaman