Shida ya maji Morogoro mjini

nyembeason

Member
May 4, 2009
44
21
Hawa ni si wananchi wa kijijini, ni wananchi wa Bigwa Visiwani, Manispaa ya Morogoro. Shida ya maji ni kubwa kuliko kawaida.

Maji ya MORUWASA huwa hayatoki kwa kipindi cha mpaka miezi mitatu...wanamji, hasa wa Bigwa...hutumia maji yasiyo salama, ya kwenye vijimito vya msimu.

Picha zinatoa hali halisi....tutapita kila mtaa mjini Morogoro kwa picha zaidi.
 

Attachments

  • WIN_20161212_084541.JPG
    WIN_20161212_084541.JPG
    306.4 KB · Views: 34
  • WIN_20161212_084545.JPG
    WIN_20161212_084545.JPG
    330.1 KB · Views: 40
  • WIN_20161212_084743.JPG
    WIN_20161212_084743.JPG
    428.5 KB · Views: 32
  • WIN_20161212_084800.JPG
    WIN_20161212_084800.JPG
    339 KB · Views: 37
  • WIN_20161212_084808.JPG
    WIN_20161212_084808.JPG
    292 KB · Views: 36
  • WIN_20161212_085358.JPG
    WIN_20161212_085358.JPG
    217.7 KB · Views: 64
  • WIN_20161212_084809.JPG
    WIN_20161212_084809.JPG
    318.2 KB · Views: 36
  • WIN_20161212_085429.JPG
    WIN_20161212_085429.JPG
    203.5 KB · Views: 48
  • WIN_20161212_084623.JPG
    WIN_20161212_084623.JPG
    331.6 KB · Views: 31
  • WIN_20161212_085030.JPG
    WIN_20161212_085030.JPG
    342.9 KB · Views: 37
Mbunge wao ni nani? Alafu wakumbushe hilo pambio


Hatuninyongi, hatunywi sumu *£s&@*% mbele kwa mbele.
Tuliipenda wenyewe, ndindi ndi ndi....
Chaguo letu wenyewe, ndi ndi ndi
Wachaaaa wais.....
 
Hakuna watu huwa wananipa hasira kama MORUWASA.kuna kipindi maji hayakutoka takribani miezi mitatu nyumbani kwangu lakini wao wakawa wananiletea bills kila mwezi zikionesha napata maji. yaani nilitamani niwakoroge vichwa vyao na Hute.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom