Shida ya mafuta hali ni mbaya sana hapa Sinza GBP

SUYA

Senior Member
Jun 24, 2009
131
21
Kutokana na ukosefu wa mafuta shell pekee yenye mafuta eneo la mwenge gbp hali ni mbaya miruru ya magari ni mikubwa mno magari yamezimika njiani
hapa sheli watu wamejazana ma vidumu kuna askari polisi na mgambo wanapiga watu onyo tunaomba ulinzi uimarishe eneo hili ni hatari kubwa kama kutatokea njambo
lolote la kuhatarisha amani
 
Back
Top Bottom