Shida ya kusimamisha

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Jamani mimi nikifanya tendo la ndoa nyumbani ngoma inasimama barabara. Ila nikijaribu kupinga match za nje jogoo linagoma kabisa.

Huwa naingia aibu kwani nikimwambia demu sina matatizo huwa inapiga kazi fresh ananiambia si upige mashine sasa maneno mengi ya nini?

Imeshanitokea zaidi ya mara tatu na wanawake tofauti na wote wananitangaza mimi sisimamishi wakati mimi najua nasimamisha. Je nifanyaje?

Kumuuliza ze wife nashindwa. Wana JF nipeni ushauri
 
Acha zinaa...
Mungu anakupa chance,ungeweza kuibua magonjwa toka kwa hao wadada!
 
kumbe mchawi unamjua afu unatuuliza si bora kwanza ungeanzia kwanza kumuuliza wife. Then kwanini utoke nje wakati una mke? Acha bana.
 
Jamani mimi nikifanya tendo la ndoa nyumbani ngoma inasimama barabara. Ila nikijaribu kupinga match za nje jogoo linagoma kabisa. Huwa naingia aibu kwani nikimwambia demu sina matatizo huwa inapiga kazi fresh ananiambia si upige mashine sasa maneno mengi ya nini? Imeshanitokea zaidi ya mara tatu na wanawake tofauti na wote wananitangaza mimi sisimamishi wakati mimi najua nasimamisha. Je nifanyaje? Kumuuliza ze wife nashindwa. Wana JF nipeni ushauri

lol
 
Mara ya mwisho shem alienda kusalimia 'wazee 'lini?
 
Nawe!!! unataka nini sasa, kwani mkeo hakutoshelezi?... mmh mwanaume acha ufska.. huoni kama unajitia aibu na hayo matangazo? kuna cku utayasikia kwa mkeo... ''watu wanasema hivi''
 
Ohoo! sasa mwenzeni atachezaje mechi za nyumbani tu, ni muhimu na mechi za nje ili kupata matokeo mazuri nyumbani, jaribu kutumia "FUNGARUZIZI POWER" mpigie Dr. Simba 0714498827/0782118410/0767498827/0776943535 hakika utapona vijimambo tu ucjali !!
 
Dokta simba tafadhari lipia hili tangazo
 
FUNGARUZIZI ni miti shamba? huko sasa ndo utarogwa ! usiende mkuu.
 
habari ndo hiyo bi mkubwa a.k.a abiria keshachunga mzigo wake we unataka nini tena?hapo ni mpaka mwisho wa safari yani kifo mkuu we tulia tu ingawaje ni mateso bila chuki.
 
nakumbuka siku moja iligoma kwa dada mmoja hangaika na wewe imegoma baada ya miezi minne yule mdada akaanza kuumwa ngoma yaani niliponea kwenye tundu la sindano
 
Vizia mama akisafiri, chukua huo mzigo wako wa nje kapigie kiwanja cha nyumbani
 
kubadilisha mazingira,

remy.jpg
 
duh mkuu hata mie ilinitokea hiyo, mdada kaniambia mbona unahangaika mara nilienda ****** kupiga CHUPU lkn wapi, alipoondoka tu mzigo ukasimama kwa nguvu za ziada, nikamwambia arudi aliporudi mtimbo ukawa doro tena, mdada kanitukani kuwa mie zero ila najiifanya kidume....Mwanangu ni hofu tuu wakati mwingine...next time cheza nae kwa sana tuu ili uzoee mazingira...ngoma itasimama na watakimbia mkuu...
 
Jamani jamani Blue Blaa mwogope mungu wako. Mwenyewe ulikula kiapo kuwa nitaishi naye huyu peke yake na sitahangaika na wengine. Sasa hicho kiapo ndio kinachokusumbua mpaka hiyo SWEET JOJO inakataa kusimama.:embarrassed:
 
Jamani mimi nikifanya tendo la ndoa nyumbani ngoma inasimama barabara. Ila nikijaribu kupinga match za nje jogoo linagoma kabisa. Huwa naingia aibu kwani nikimwambia demu sina matatizo huwa inapiga kazi fresh ananiambia si upige mashine sasa maneno mengi ya nini? Imeshanitokea zaidi ya mara tatu na wanawake tofauti na wote wananitangaza mimi sisimamishi wakati mimi najua nasimamisha. Je nifanyaje? Kumuuliza ze wife nashindwa. Wana JF nipeni ushauri

Huo ugonjwa mzuri sana, utatusaidia kupunguza maambukizi ya ngoma!
 
Back
Top Bottom