We ni muhaya sor (mka mwana)Mama mkwe kamfukuza mka mwana nyumbani, mume kaungana na mama yake! Jamani kuna sababu ya mke kung'ang'ania ndoa hiyo??
Nnae mie jamani nimemficha......nakutanieni sio kweliamuachie mungu tu
jose uko wapi?
Kukaa mbal nao itapendeza zaidiMama mkwe kamfukuza mka mwana nyumbani, mume kaungana na mama yake! Jamani kuna sababu ya mke kung'ang'ania ndoa hiyo??
kwanza inategemea walivyooana na nguvu ilikuwaje ya kuhakikisha wanaoana, kwamaoni yangu mimi binafsi ni kwamba unaweza ukakuta mwanamke alilazimisha ndoa wakati mwanaume hakuwa tayari kwa wakati huo , au mwanamke alimwambia mwanaume nina ujauzito wako jitahidi unichukue au vinginevyo maana sio kawaida mwanaume kuamua kuwa upande wa mama yake acha niseme hivi, sisi wengine ambao tulipendwa sana na mama zetu ninapotaka kuoa huwa naongea na mama nayeye huwa anafanya tafiti kujua mke ni mwenye tabia zipi na wazazi wake wana tabia zipi na kupata historia ya ukoo wa mchumba, yapo mengi mama anaweza kuamua kunishauri nisioe na kutaka niache sasa unakuta msichana anakwambia "FULANI KWANI WANAOA WAO AU, WEWE NDIO UNAYEOA USIWASIKILIZE BHANA TUANZE MAISHA YETU" hapo sasa...Mama mkwe kamfukuza mka mwana nyumbani, mume kaungana na mama yake! Jamani kuna sababu ya mke kung'ang'ania ndoa hiyo??
Utoto tuSababu gani imepelekea hadi hayo kutokea?