Shida ya hr na cuf yake ni vyeo tu wakipewa watatulia!

Shapecha

Member
Oct 21, 2010
45
1
Nadhani mliangalia mdahalo wa jana na mliona kwa kiasi gani HR alivyodhihirisha wazi kuwa anahitaji bado kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani. Mlimuona anavyoongea kwa jazba yeye rafu aliziona za CDM tu ila rafu za CCM hakuziona kabisaa kisa wamepewa umakamu wa kwanza wa rais huko kwa Visiwa.

Based on that mdahalo nimegundua tatizo la CUF ni vyeo na wala hakuna kitu kingine. Zanzibar wamepewa umakamu wa rais na mawaziri kadhaa wametulia kimyaa na kukubali kuimplement ilani ya CCM. Huku bara wale ambao ni wabunge na hawana vyeo nao wanataka vyeo sasa, wanataka favour ya CCM itengue kanuni za bunge kwa uwingi wao bungeni ili zitambue kambi zaidi ya moja za upinzani ipo wapi hiyo?

Hamad now anazifikiria zile 100 M alikua anazilamba kama kiongozi wa kambi ya upinzani, Analikumbuka lile STK alilokua analitumia now kapewa mbowe sasa kwa hali ya kawaida lazima achanganyikiwe, sasa anakuja na kisirani cha kuwaumiza CDM ili washindwe kufanya kazi.

Lakini jaribio lake litashindwa kwani bunge la 9 idadi ya wabunge wa upinzani wote ilikua 48, lakini mwaka huu chadema pekee ina wabunge 48 kumbe CDM wanaweza wakawa strong kama bunge lililopita na hawa wapinzania wengine wakajiunga na CCM.

Wapinzani wa kweli wanajulikana ndiyo maana CCM siku hizi haihangaiki na CUF ipo busy na CDM muda wote wakitafuta means ya kuingamiza ambayo moja wapo ni kuiweka CUF karibu na Vyama vingine vya upinzani kama NCCR, TLP na UDP.

HR kiasili ni CCM damu aliingia CUF akitegeme wangelishinda urais wa ZNZ na yeye kulamba vyeo ndani ya serikali ile lakini haikua hivyo wamefight sana wakaona graph inazidi kushuka wakaona dawa ni kujirudi kwa CCM but kwa mgongo wa serikali ya mseto. Now maalim anatembea na Ving'ora humsikii tena akibwatuka.

HR inabidi ajue kuwa cheo ni zamana, Wajipange upya waajenge chama ili kama itawezekana 2015 wapate wabunge wengi zaidi ya wa CDM. Wenzao waliwekeza tangia enzi za Operation sangara thats why now wamevuna kwa kiwango cha kuridhisha. Wareview Operation zinduka yao ilikua na mapungufu gani then wayaboreshe watafanikiwa huenda ila siyo kuwa na Jazba na kupayuka hovyo hovyo.

Ni mtizamo tu!
 
Nadhani hiyo ni shida ya wanasiasa wengi.

Tumeona jinsi wenyeviti wa Chadema walivyonyimwa vyeo walivyojitowa kwenye chama. Tumeona jinsi viongozi wa vyama vya upinzania vya sasa, waliponyimwa vyeo CCM walijitowa, namely Slaa, Shibuda. Na si hao tu, ipo mifano mingi na wa vyama tofauti.

Siasa na kupiga porojo bila kuambulia cheo au kushika uongozi ni kama mfanya biashara asie na mafanikio. Ultimate satisfaction ya mwana siasa ni kukamata uongozi wa hali ya juu kadri iwezekenavyo. Ulevi wa Madaraka upo kwenye siasa.
 
Nadhani mliangalia mdahalo wa jana na mliona kwa kiasi gani HR alivyodhihirisha wazi kuwa anahitaji bado kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani. Mlimuona anavyoongea kwa jazba yeye rafu aliziona za CDM tu ila rafu za CCM hakuziona kabisaa kisa wamepewa umakamu wa kwanza wa rais huko kwa Visiwa.

Based on that mdahalo nimegundua tatizo la CUF ni vyeo na wala hakuna kitu kingine. Zanzibar wamepewa umakamu wa rais na mawaziri kadhaa wametulia kimyaa na kukubali kuimplement ilani ya CCM. Huku bara wale ambao ni wabunge na hawana vyeo nao wanataka vyeo sasa, wanataka favour ya CCM itengue kanuni za bunge kwa uwingi wao bungeni ili zitambue kambi zaidi ya moja za upinzani ipo wapi hiyo?

Hamad now anazifikiria zile 100 M alikua anazilamba kama kiongozi wa kambi ya upinzani, Analikumbuka lile STK alilokua analitumia now kapewa mbowe sasa kwa hali ya kawaida lazima achanganyikiwe, sasa anakuja na kisirani cha kuwaumiza CDM ili washindwe kufanya kazi.

Lakini jaribio lake litashindwa kwani bunge la 9 idadi ya wabunge wa upinzani wote ilikua 48, lakini mwaka huu chadema pekee ina wabunge 48 kumbe CDM wanaweza wakawa strong kama bunge lililopita na hawa wapinzania wengine wakajiunga na CCM.

Wapinzani wa kweli wanajulikana ndiyo maana CCM siku hizi haihangaiki na CUF ipo busy na CDM muda wote wakitafuta means ya kuingamiza ambayo moja wapo ni kuiweka CUF karibu na Vyama vingine vya upinzani kama NCCR, TLP na UDP.

HR kiasili ni CCM damu aliingia CUF akitegeme wangelishinda urais wa ZNZ na yeye kulamba vyeo ndani ya serikali ile lakini haikua hivyo wamefight sana wakaona graph inazidi kushuka wakaona dawa ni kujirudi kwa CCM but kwa mgongo wa serikali ya mseto. Now maalim anatembea na Ving'ora humsikii tena akibwatuka.

HR inabidi ajue kuwa cheo ni zamana, Wajipange upya waajenge chama ili kama itawezekana 2015 wapate wabunge wengi zaidi ya wa CDM. Wenzao waliwekeza tangia enzi za Operation sangara thats why now wamevuna kwa kiwango cha kuridhisha. Wareview Operation zinduka yao ilikua na mapungufu gani then wayaboreshe watafanikiwa huenda ila siyo kuwa na Jazba na kupayuka hovyo hovyo.

Ni mtizamo tu!

Kuhusu suala la kuudwa kwa Kambi Ndogo ya Upinzani, alikiri kwamba yeye ndiye aliyeandika barua kwa Spika wa Bunge, kuomba kuundwa kwa kanuni zinazoitambua kambi hiyo na kwamba suala hilo pia limo kwenye kanuni za CPA na zipo nchi zenye kambi ndogo za upinzani na kutoa mfano Marekani na Uingereza.

“Suala hili linafahamika hata kwenye kanuni za CPA ila kwa bahati mbaya sisi hatukuwa na kanuni hizo, ndio maana nimeandika barua kwa Spika ili kuona uwezekano wa kuunda kambi hiyo, hilo linawezekana kabisa,” alisema. Source Habari leo.

Nadhani inaonyesha how jamaa anataka cheo hakuna kingine thats why anataka kambi ndogo iundwe na itambuliwe na bunge ili wapewe fungu lao ambazo ni pesa za walipa kodi
Vyeo hivi!
 
Suala ni kufuata katiba na kanuni za Bunge kwenye kuunda kambi rasmi ya upinzani. Kama vyama vingine wanataka nafasi hiyo basi 2015 wachaguliwe kwa wingi ili wafikie vigezo vya kisheria. Pia kama Hamad Rashid na wenziwe wanataka kuingia kwenye kambi hiyo basi wapeleke hoja ya kubadilisha kanuni za Bunge kuhusu suala hilo. Mbona CUF mwanzo walikuwaga wenyewe tu na baadaye wakawakaribisha wengine sasa iweje inawauma? Si na Chadema ina anza kama walivyofanya wao?
 
HR inabidi ajue kuwa cheo ni zamana, Wajipange upya waajenge chama ili kama itawezekana 2015 wapate wabunge wengi zaidi ya wa CDM. Wenzao waliwekeza tangia enzi za Operation sangara thats why now wamevuna kwa kiwango cha kuridhisha. Wareview Operation zinduka yao ilikua na mapungufu gani then wayaboreshe watafanikiwa huenda ila siyo kuwa na Jazba na kupayuka hovyo hovyo.

Ni mtizamo tu![/QUOTE]

Hawana uwezo wa kufikiri maana hata hiyo Operation zinduka ilikuwa ni kuzinduka baada ya kuona CHADEMA wamefanya kwa mafanikio Operation Sangara. CUF ni Copy and pest Until you Fall out
 
HR inabidi ajue kuwa cheo ni zamana, Wajipange upya waajenge chama ili kama itawezekana 2015 wapate wabunge wengi zaidi ya wa CDM. Wenzao waliwekeza tangia enzi za Operation sangara thats why now wamevuna kwa kiwango cha kuridhisha. Wareview Operation zinduka yao ilikua na mapungufu gani then wayaboreshe watafanikiwa huenda ila siyo kuwa na Jazba na kupayuka hovyo hovyo.

Ni mtizamo tu!

Hawana uwezo wa kufikiri maana hata hiyo Operation zinduka ilikuwa ni kuzinduka baada ya kuona CHADEMA wamefanya kwa mafanikio Operation Sangara. CUF ni Copy and pest Until you Fall out[/QUOTE]

CHADEMA wao peke yao hawawezi kufanya chochote Bungeni, wanahitaji kushirikiana na wenzao. Kutengeneza uadui na wenzao haiwasaidii. CCM itawaburuza kama jinsi vumbi inavyo pulizwa upepo, kuweni wamoja acheni chuki na uhasama wa UDINI, UKABILA NA KUPENDELEA KUPEANA VYEO
 
Nadhani mliangalia mdahalo wa jana na mliona kwa kiasi gani HR alivyodhihirisha wazi kuwa anahitaji bado kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani. Mlimuona anavyoongea kwa jazba yeye rafu aliziona za CDM tu ila rafu za CCM hakuziona kabisaa kisa wamepewa umakamu wa kwanza wa rais huko kwa Visiwa.

Based on that mdahalo nimegundua tatizo la CUF ni vyeo na wala hakuna kitu kingine. Zanzibar wamepewa umakamu wa rais na mawaziri kadhaa wametulia kimyaa na kukubali kuimplement ilani ya CCM. Huku bara wale ambao ni wabunge na hawana vyeo nao wanataka vyeo sasa, wanataka favour ya CCM itengue kanuni za bunge kwa uwingi wao bungeni ili zitambue kambi zaidi ya moja za upinzani ipo wapi hiyo?

Hamad now anazifikiria zile 100 M alikua anazilamba kama kiongozi wa kambi ya upinzani, Analikumbuka lile STK alilokua analitumia now kapewa mbowe sasa kwa hali ya kawaida lazima achanganyikiwe, sasa anakuja na kisirani cha kuwaumiza CDM ili washindwe kufanya kazi.

Lakini jaribio lake litashindwa kwani bunge la 9 idadi ya wabunge wa upinzani wote ilikua 48, lakini mwaka huu chadema pekee ina wabunge 48 kumbe CDM wanaweza wakawa strong kama bunge lililopita na hawa wapinzania wengine wakajiunga na CCM.

Wapinzani wa kweli wanajulikana ndiyo maana CCM siku hizi haihangaiki na CUF ipo busy na CDM muda wote wakitafuta means ya kuingamiza ambayo moja wapo ni kuiweka CUF karibu na Vyama vingine vya upinzani kama NCCR, TLP na UDP.

HR kiasili ni CCM damu aliingia CUF akitegeme wangelishinda urais wa ZNZ na yeye kulamba vyeo ndani ya serikali ile lakini haikua hivyo wamefight sana wakaona graph inazidi kushuka wakaona dawa ni kujirudi kwa CCM but kwa mgongo wa serikali ya mseto. Now maalim anatembea na Ving'ora humsikii tena akibwatuka.

HR inabidi ajue kuwa cheo ni zamana, Wajipange upya waajenge chama ili kama itawezekana 2015 wapate wabunge wengi zaidi ya wa CDM. Wenzao waliwekeza tangia enzi za Operation sangara thats why now wamevuna kwa kiwango cha kuridhisha. Wareview Operation zinduka yao ilikua na mapungufu gani then wayaboreshe watafanikiwa huenda ila siyo kuwa na Jazba na kupayuka hovyo hovyo.

Ni mtizamo tu!

mambo ya kupata na kiongozi wa upinzani kufikiria STK ni mawazo ya KIMASIKINI umeambiwa HR ananjaa kama wewe. Amekua kiongozi wa upinzani kwa miaka 15 kama hajapata hela hata pata kwa miaka 5 ijayo. pia hujui miradi ya HR kama anaweza au hawezi kuwa na shangingi lake. watu wanahela usifikirie wana njaa kama chadema
 
Back
Top Bottom