Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,592
- 5,481
Hata mie nawapenda sana hao wasingle maza lakini sina bahati ya kukutana naoMimi nawatafuta sana single maza mbona siwapati
Hata mie nawapenda sana hao wasingle maza lakini sina bahati ya kukutana naoMimi nawatafuta sana single maza mbona siwapati
Maisha yanachangamoto nyingi mkuu...mtoto wake ni hazina zaidi kuliko mumeUna roho ngumu yaani unamshauri atafute mtu wa kuzini naye.
Duuh pole yake ila mimi nilishajiapiza kuliko kuwa na mwanaume mzinzi au mnyanyasaji ni bora niwe single maisha yangu yote
Joanah, unajuwa Kwa mwanamke ...Ni kweli...bado mimi
Kwa kweliKabisa lazima uwe na life uliyoichagua no matter what you deserve to be happy in this world
Hivi kwani wanaume hamnaga vigezo? Tena mbona nyie ndo mnwekaga vigezo vigumu kuliko hata vya kwetu?Joanah, unajuwa Kwa mwanamke ...
1. At the age of 20 to 25 kama hayupo shule na hakuna kinachomkeep busy, ataanza kuwaza kuolewa.... Lakini this age anakuwa na MAXIMUM namba ya vigezo... Awe wa blue, amiliki bombadia, awe na PhD, awe na nyumba etc
2. Unfortunately vigezo vipo inversely proportional na age.... Anavyozidi kukaribia 30, NDIVYO vigezo vinavyopungua..!!!
3. Akifika 30 and she is NOT SURE OF MR RIGHT, vigezo vinachange ... VINAANZA KUELEKEA KWENYE MTU WA KUZAA NAYE....
4. Kwenye MTU WA KUZAA NAYE, kigezo kikuu ni HOW HANDSOME THE MAN IS...
5. COME 33 huku bado Hana uhakika, THEN HAPO hakuna cha cigezo, ni yeyote atakayetokea... AWE MUME WA MTU, KIBENTEN etc
Wakati haya yakiyokea, HOFU KUU KWENU HUWA NI "MENOPOZI"
Maneno ya mkosaji futa kauliUkiona umefika umri huo na hakuna dalili za ndoa kabisa.jiongeze basi japo uzae hapo mtoto mmoja awe faraja kwako.
Angalau itakupa unafuu.
Chukua tahadhariJoanah, unajuwa Kwa mwanamke ...
1. At the age of 20 to 25 kama hayupo shule na hakuna kinachomkeep busy, ataanza kuwaza kuolewa.... Lakini this age anakuwa na MAXIMUM namba ya vigezo... Awe wa blue, amiliki bombadia, awe na PhD, awe na nyumba etc
2. Unfortunately vigezo vipo inversely proportional na age.... Anavyozidi kukaribia 30, NDIVYO vigezo vinavyopungua..!!!
3. Akifika 30 and she is NOT SURE OF MR RIGHT, vigezo vinachange ... VINAANZA KUELEKEA KWENYE MTU WA KUZAA NAYE....
4. Kwenye MTU WA KUZAA NAYE, kigezo kikuu ni HOW HANDSOME THE MAN IS...
5. COME 33 huku bado Hana uhakika, THEN HAPO hakuna cha cigezo, ni yeyote atakayetokea... AWE MUME WA MTU, KIBENTEN etc
Wakati haya yakiyokea, HOFU KUU KWENU HUWA NI "MENOPOZI"
Tunavyo, ILA tofauti ya vigezo vyetu na vyenu ni kwamba vyenu SEHEMU KUBWA HAVIKO REALISTIC SANA... vimekaa ki-material zaidi...Hivi kwani wanaume hamnaga vigezo? Tena mbona nyie ndo mnwekaga vigezo vigumu kuliko hata vya kwetu?
Ya nini?Chukua tahadhari
Hiyo single life unayoizungumzia, HAITAHUSISHA KUGEGEDANA? Maana single halisia sidhani kama utaiweza...Duuh pole yake ila mimi nilishajiapiza kuliko kuwa na mwanaume mzinzi au mnyanyasaji ni bora niwe single maisha yangu yote
Kama mama Chibu dangote sio ?ha ha ha sisi ni wazee vijana tunaozeeka vizuri
ha ha ha ha ni dhambi kubwa sana usipotumia viungo vyako vizuriKama mama Chibu dangote sio ?
Naiweza sana sababu najua nini ninachokitaka kwenye maisha yanguHiyo single life unayoizungumzia, HAITAHUSISHA KUGEGEDANA? Maana single halisia sidhani kama utaiweza...
Si kweli kwamba kila mwanamke anatamani kuzaa.
Kuna siku nilikuwa nasikiliza BBC World Service, walikuwa wanahojiwa wanawake ambao wameamua kutozaa wala kuolewa kwa hiyari zao wenyewe, wengine wameamua kusafiri sehemu mbalimbali za dunia, wengine wameamua kuweka kipaumbele katika kazi zao.
Kwa hiyo, labda inawezekana kiutamaduni hapo ulipo kila mwanamke anaonekana hivyo, lakini kuna wanawake kibao hawana mpango wa kuolewa wala kuzaa.
Hapana mbona hata tukisema tunahitaji wanaume wapole na waaminifu bado mnasema tutajioa wenyewe? Nilichogundua ni kwamba wanawake vigezo vyetu vingi ni vya kawaida na wanaume mna uwezo wa kuwa navyo vyote ila tu hamtaki kuwa navyoTunavyo, ILA tofauti ya vigezo vyetu na vyenu ni kwamba vyenu SEHEMU KUBWA HAVIKO REALISTIC SANA... vimekaa ki-material zaidi...
Hawa wote walioolewa ndio kusema wanasifa zote hizo ? Au hawajaolewa na wanaume?Tofauti na ninyi mnataka mwanamke mmoja huyo huyo awe mzuri wa sura na umbo, mpole, muaminifu, mnyenyekevu, mvumilivu na mcha Mungu na akikosa sifa hata moja kati ya hizo mnasema hafai kuolewa
Ni ujinga unasema hutaki ndoa huku unatombwa na wanaume wa wenzako........hapo unakua unapangiwaNi haki yao ya kikatiba na kibinadamu.
Kwani wewe wanakupangia?
Kwahyo yu mean yu should just marry any one ili usionekane unachaguaWadada wa aina hii wengi ni watu waliokata tamaa ya maisha,alafu kauli zao mbaya mbaya,,badilikeni jamani wengi wenu mlikuwa mnachagua wanaume.
Hawana sifa zote hizo na wameolewa na wanaume lakini si ndo hao wanaume wanaoishia kuchepuka? Maana yake nini? Maana yake wanaume wanataka wake zao wawe wakamilifu ndo wasichepuke si ndiyo?Hawa wote walioolewa ndio kusema wanasifa zote hizo ? Au hawajaolewa na wanaume?