Shida tunazozipata wadada wa makamo tulio single miaka 35 na kuendelea

Duuh pole yake ila mimi nilishajiapiza kuliko kuwa na mwanaume mzinzi au mnyanyasaji ni bora niwe single maisha yangu yote

Kabisa lazima uwe na life uliyoichagua no matter what you deserve to be happy in this world
 
Ni kweli...bado mimi
Joanah, unajuwa Kwa mwanamke ...
1. At the age of 20 to 25 kama hayupo shule na hakuna kinachomkeep busy, ataanza kuwaza kuolewa.... Lakini this age anakuwa na MAXIMUM namba ya vigezo... Awe wa blue, amiliki bombadia, awe na PhD, awe na nyumba etc
2. Unfortunately vigezo vipo inversely proportional na age.... Anavyozidi kukaribia 30, NDIVYO vigezo vinavyopungua..!!!
3. Akifika 30 and she is NOT SURE OF MR RIGHT, vigezo vinachange ... VINAANZA KUELEKEA KWENYE MTU WA KUZAA NAYE....
4. Kwenye MTU WA KUZAA NAYE, kigezo kikuu ni HOW HANDSOME THE MAN IS...
5. COME 33 huku bado Hana uhakika, THEN HAPO hakuna cha cigezo, ni yeyote atakayetokea... AWE MUME WA MTU, KIBENTEN etc

Wakati haya yakiyokea, HOFU KUU KWENU HUWA NI "MENOPOZI"
 
Hivi kwani wanaume hamnaga vigezo? Tena mbona nyie ndo mnwekaga vigezo vigumu kuliko hata vya kwetu?
 
Joanah, unajuwa Kwa mwanamke ...
1. At the age of 20 to 25 kama hayupo shule na hakuna kinachomkeep busy, ataanza kuwaza kuolewa.... Lakini this age anakuwa na MAXIMUM namba ya vigezo... Awe wa blue, amiliki bombadia, awe na PhD, awe na nyumba etc
2. Unfortunately vigezo vipo inversely proportional na age.... Anavyozidi kukaribia 30, NDIVYO vigezo vinavyopungua..!!!
3. Akifika 30 and she is NOT SURE OF MR RIGHT, vigezo vinachange ... VINAANZA KUELEKEA KWENYE MTU WA KUZAA NAYE....
4. Kwenye MTU WA KUZAA NAYE, kigezo kikuu ni HOW HANDSOME THE MAN IS...
5. COME 33 huku bado Hana uhakika, THEN HAPO hakuna cha cigezo, ni yeyote atakayetokea... AWE MUME WA MTU, KIBENTEN etc
Wakati haya yakiyokea, HOFU KUU KWENU HUWA NI "MENOPOZI"
Chukua tahadhari
 
Duuh pole yake ila mimi nilishajiapiza kuliko kuwa na mwanaume mzinzi au mnyanyasaji ni bora niwe single maisha yangu yote
Hiyo single life unayoizungumzia, HAITAHUSISHA KUGEGEDANA? Maana single halisia sidhani kama utaiweza...
 
Si kweli kwamba kila mwanamke anatamani kuzaa.

Kuna siku nilikuwa nasikiliza BBC World Service, walikuwa wanahojiwa wanawake ambao wameamua kutozaa wala kuolewa kwa hiyari zao wenyewe, wengine wameamua kusafiri sehemu mbalimbali za dunia, wengine wameamua kuweka kipaumbele katika kazi zao.

Kwa hiyo, labda inawezekana kiutamaduni hapo ulipo kila mwanamke anaonekana hivyo, lakini kuna wanawake kibao hawana mpango wa kuolewa wala kuzaa.

Ni Jamii tu imekariri ukimaliza chuo au ukifikisha umri fulani unaanza kuulizwa kuhusu ndoa na mume
Marriage and babies are not goals they’re just stages,women chase your goals along the way you will pass through the stages
 
Tunavyo, ILA tofauti ya vigezo vyetu na vyenu ni kwamba vyenu SEHEMU KUBWA HAVIKO REALISTIC SANA... vimekaa ki-material zaidi...
Hapana mbona hata tukisema tunahitaji wanaume wapole na waaminifu bado mnasema tutajioa wenyewe? Nilichogundua ni kwamba wanawake vigezo vyetu vingi ni vya kawaida na wanaume mna uwezo wa kuwa navyo vyote ila tu hamtaki kuwa navyo

Tofauti na ninyi mnataka mwanamke mmoja huyo huyo awe mzuri wa sura na umbo, mpole, muaminifu, mnyenyekevu, mvumilivu na mcha Mungu na akikosa sifa hata moja kati ya hizo mnasema hafai kuolewa

Na mnajipa moyo kwamba wenye sifa hizo zote wapo mtawapata tu sasa hadi hapo huyo mtu si tayari ni mkamilifu na ukizingatia ninyi hizo sifa nzuri hamtaki kuwa nazo sasa kwanini mnalazimisha mtu awe mkamilifu wakati hata Mungu anajua kuwa hajatuumba wakamilifu na ndo maana anatusamehe makosa

Ila ninyi wanaume mbona hamtaki kuelewa hilo kuhusu wanawake? Mbaya zaidi mnaona kama vile wanaume ndo mliumbwa kufanya makosa ila wanawake tuliumbwa kufanya mema tu hivi mko serious kabisa?
 
Tofauti na ninyi mnataka mwanamke mmoja huyo huyo awe mzuri wa sura na umbo, mpole, muaminifu, mnyenyekevu, mvumilivu na mcha Mungu na akikosa sifa hata moja kati ya hizo mnasema hafai kuolewa
Hawa wote walioolewa ndio kusema wanasifa zote hizo ? Au hawajaolewa na wanaume?
 
Wadada wa aina hii wengi ni watu waliokata tamaa ya maisha,alafu kauli zao mbaya mbaya,,badilikeni jamani wengi wenu mlikuwa mnachagua wanaume.
Kwahyo yu mean yu should just marry any one ili usionekane unachagua
Maisha ya ndoa siyo yakufanyia majaribio
 
Hawa wote walioolewa ndio kusema wanasifa zote hizo ? Au hawajaolewa na wanaume?
Hawana sifa zote hizo na wameolewa na wanaume lakini si ndo hao wanaume wanaoishia kuchepuka? Maana yake nini? Maana yake wanaume wanataka wake zao wawe wakamilifu ndo wasichepuke si ndiyo?

Halafu kufaa kuoa au kuolewa na kuoa au kuolewa ni mambo mawili tofauti kuna wanawake hawafai kuolewa na wameolewa na kuna wanawake wanafaa kuolewa na hawajaolewa vile vile kuna wanaume hawafai kuoa na wameoa na kuna wanaume wanafaa kuoa na hawajaoa haya naomba nijibu swali langu kwenye hiyo aya ya kwanza
 
Back
Top Bottom