Shida tunazozipata wadada wa makamo tulio single miaka 35 na kuendelea

Maswali kila Kona,utazaa lini? Beba mimba mwezi huu?
Kuzaa ni kudra za Mwenyezi Mungu,kila mwanamke anatamani kuwa na mtoto.ila mkiona mtu hajazaa jua muda wake Bado hata Sara wa ibrahimu alizaa na miaka tisini.msilazimishe watu kuzaa eti umri unaenda wakati kulea hamtaki.Gods time is the best !

Unaolewa lini?
Tutaolewa siku na saa MUngu aliopanga
Kuna majira na nyakati za kila kitu chini ya jua.

Unasex na Nani?
Sex sio mandatory.hakuna madhara yoyote kiafya au kiakili kwa mtu asiefanya sex

Wanawake wenzangu tufocus kwenye mipango ya maisha yetu na furaha zetu.tusikate tamaa wala kuyumbishwa na maneno.wala usikubali kupoteza nguvu zako na malengo yako kwa kutembea na mume wa mtu.

Kesho nitakuwa kazini naombeni order zenu
Umesema vizuri.
La muhimu husikubali kufanyiwa maamuzi na mtu, acha watu wakushauri, lakini maamuzi fanya wewe mwenyewe.

Yote katika yote vaeni nguo. Mwanamke anaheshima tu pale ambapo amevaa nguo, ukisha mvulia mwanamume ngua ambaye si mume wako, basi huna tene heshima kwa uliyemvuli nguo
 
Just because i made a comment sometime ago 'bout me having a main chick and side chicks, some girls I know stopped talking to me.

I'm having hard time explaining. It was all jf bants and rants!

One must be really careful in here...you never can tell what's really goin.. on eventually
 
Mkuu masingle maza kumbe ni hatari sana kwa afya basi tena wala siwataki ila kuna mmoja nilikuwa nagonga si akaniganda nikampotezea mpk leo
Nitupie namba yake Pm nidili nao hao wazee,Hao wazee ndio wazuri wanajua kulea na maisha wanayajua vizuri
 
Una roho ngumu yaani unamshauri atafute mtu wa kuzini naye.
Ni vizuri kuzaa mapema ili ukiwa 50+ uwe umemaliza kusomesha hadi chuo kikuu,faida ya kuwa na watoto kwa sasa huwezi kuioana,baada ya miaka 10 mbele utaona umuhimu wa kuwa na watoto mapema.Kama umekosa mume,tafuta wa kuzaa naye.
 
Back
Top Bottom