Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,262
- 40,044
bado 2 ifike 40Una miaka mingapi kwa sasa ?
bado 2 ifike 40Una miaka mingapi kwa sasa ?
Ni haki yao ya kikatiba na kibinadamu.Sema mashine wanapigwa Kama kawaida
k.uma ya bibi ako,kafie mbele
Shida wanawake wa umri huo wanakua wamechoka maana wametumika sana,unahitaji moyo kuweka dudu lako kwenye mapango yao
Naomba basi kadi mkuu nitakufa kwa njaa kama sio kufwarikiChukua kadi ya chama cha Mapinduzi upate access ya kula keki ya taifa la sivyo wapinzani mtabaki kwenye wrong track siku zote.
Kwani kupigwa mashine kitu gani? Kuna vitu vya muhimu sana kwangu vya kufanya kuliko kupigwa mashine tena na mtu ambaye yupo kimaslahi tu anawaza kupiga na kusepaBila kupigwa mashine
bibi yako si anayo pia and it looks the same as yours,,,,hahahahaha pumbavu tena kwa mara nyinginek.uma ya bibi ako,kafie mbele
yeah hana ila wa kwako ndo hana akili kakuzaa wewe na wewe huna akili kama yeye...pumbavu tena huna akili hahahahahahahana akili mama ako
na bibi yako si alikuwa nayo tena inasemekana kwa sababu ya laana mlizokuwa nazo alikuwa nayo usoni na wewe umerirhi hiyo...hahahahak.uma ya bibi ako,kafie mbele
huna akili mkuu si ukubali yaishe mkuu..hahahah shida ya nini au mpaka upate mume?,..hahahahahahahana akili mama ako
Umesema vizuri.Maswali kila Kona,utazaa lini? Beba mimba mwezi huu?
Kuzaa ni kudra za Mwenyezi Mungu,kila mwanamke anatamani kuwa na mtoto.ila mkiona mtu hajazaa jua muda wake Bado hata Sara wa ibrahimu alizaa na miaka tisini.msilazimishe watu kuzaa eti umri unaenda wakati kulea hamtaki.Gods time is the best !
Unaolewa lini?
Tutaolewa siku na saa MUngu aliopanga
Kuna majira na nyakati za kila kitu chini ya jua.
Unasex na Nani?
Sex sio mandatory.hakuna madhara yoyote kiafya au kiakili kwa mtu asiefanya sex
Wanawake wenzangu tufocus kwenye mipango ya maisha yetu na furaha zetu.tusikate tamaa wala kuyumbishwa na maneno.wala usikubali kupoteza nguvu zako na malengo yako kwa kutembea na mume wa mtu.
Kesho nitakuwa kazini naombeni order zenu
Mimi chadema damu mkuu lakini sipati taabu za JohnNaomba basi kadi mkuu nitakufa kwa njaa kama sio kufwariki
I cant relate umri wako na contents zako.bado 2 ifike 40
Iyo 26 unayosemelea wewe wanaume wakimfuata anawakataa na kuwaambia bado nafanya mambo yangu35 mbali kote huko? Ukifika 26 tu watu wanaanza kukutolea macho
Mnanifurahishaga sana na hizi kauli za njoo PM 😂😂😂Na mm bado. Njoo pm
ha ha ha sisi ni wazee vijana tunaozeeka vizuriI cant relate umri wako na contents zako.
Nitupie namba yake Pm nidili nao hao wazee,Hao wazee ndio wazuri wanajua kulea na maisha wanayajua vizuriMkuu masingle maza kumbe ni hatari sana kwa afya basi tena wala siwataki ila kuna mmoja nilikuwa nagonga si akaniganda nikampotezea mpk leo
Ni vizuri kuzaa mapema ili ukiwa 50+ uwe umemaliza kusomesha hadi chuo kikuu,faida ya kuwa na watoto kwa sasa huwezi kuioana,baada ya miaka 10 mbele utaona umuhimu wa kuwa na watoto mapema.Kama umekosa mume,tafuta wa kuzaa naye.