Shida tunazozipata wadada wa makamo tulio single miaka 35 na kuendelea

Hahaha.. hawa Old cargo a.k.a magazeti ya jioni huwa wanajifariji kwa maneno mepesi sana.

Eti tufocus kwenye maisha wakati mtu yuko 35+ huko...hahahaha
Wengi wao wakati wa ujana wametoa sana mimba na kukataa kuolewa,jua lishazama sasa ndio wanashtuka
 
Maswali kila Kona,utazaa lini? Beba mimba mwezi huu?
Kuzaa ni kudra za Mwenyezi Mungu,kila mwanamke anatamani kuwa na mtoto.ila mkiona mtu hajazaa jua muda wake Bado hata Sara wa ibrahimu alizaa na miaka tisini.msilazimishe watu kuzaa eti umri unaenda wakati kulea hamtaki.Gods time is the best !

Unaolewa lini?
Tutaolewa siku na saa MUngu aliopanga
Kuna majira na nyakati za kila kitu chini ya jua.

Unasex na Nani?
Sex sio mandatory.hakuna madhara yoyote kiafya au kiakili kwa mtu asiefanya sex

Wanawake wenzangu tufocus kwenye mipango ya maisha yetu na furaha zetu.tusikate tamaa wala kuyumbishwa na maneno.wala usikubali kupoteza nguvu zako na malengo yako kwa kutembea na mume wa mtu.

Kesho nitakuwa kazini naombeni order zenu
Mmmmh
 
Wengine hujifanya hawapendi kuolewa kwamba ni utumwa
Wakati wa ujana wao ndio walisema hivyo,kuna kama 2 nawajua,kuna mmoja alikataa kuolewa na jamaa yake aliempangia nyumba nzima na kumfungulia biashara,kisa dini while mwanzo alikubali,miaka kibao imepita alivyoona umri umeenda kaolewa na kiben 10 dereva wa hiace za kibaha na tena na kubadili dini aliyokataa kwa kitambi meneja miaka ile
 
Maswali kila Kona,utazaa lini? Beba mimba mwezi huu?
Kuzaa ni kudra za Mwenyezi Mungu,kila mwanamke anatamani kuwa na mtoto.ila mkiona mtu hajazaa jua muda wake Bado hata Sara wa ibrahimu alizaa na miaka tisini.msilazimishe watu kuzaa eti umri unaenda wakati kulea hamtaki.Gods time is the best !

Unaolewa lini?
Tutaolewa siku na saa MUngu aliopanga
Kuna majira na nyakati za kila kitu chini ya jua.

Unasex na Nani?
Sex sio mandatory.hakuna madhara yoyote kiafya au kiakili kwa mtu asiefanya sex

Wanawake wenzangu tufocus kwenye mipango ya maisha yetu na furaha zetu.tusikate tamaa wala kuyumbishwa na maneno.wala usikubali kupoteza nguvu zako na malengo yako kwa kutembea na mume wa mtu.

Kesho nitakuwa kazini naombeni order zenu
Pambana na Hali yako mama
 
Akisema anauza sambuza mnitagi nije faster kweny huu uzi asa zile zenye choroko nitamu kwelikweli na chai ya maziwa
 
Maswali kila Kona,utazaa lini? Beba mimba mwezi huu?
Kuzaa ni kudra za Mwenyezi Mungu,kila mwanamke anatamani kuwa na mtoto.ila mkiona mtu hajazaa jua muda wake Bado hata Sara wa ibrahimu alizaa na miaka tisini.msilazimishe watu kuzaa eti umri unaenda wakati kulea hamtaki.Gods time is the best !

Unaolewa lini?
Tutaolewa siku na saa MUngu aliopanga
Kuna majira na nyakati za kila kitu chini ya jua.

Unasex na Nani?
Sex sio mandatory.hakuna madhara yoyote kiafya au kiakili kwa mtu asiefanya sex

Wanawake wenzangu tufocus kwenye mipango ya maisha yetu na furaha zetu.tusikate tamaa wala kuyumbishwa na maneno.wala usikubali kupoteza nguvu zako na malengo yako kwa kutembea na mume wa mtu.

Kesho nitakuwa kazini naombeni order zenu
Above all siyo hampendi kuwa kwenye relationship of any kind tatizo lenu wengi mlikuwa too selective wakati mkiwa kwenye peak na hayo ndo matokeo yake.

Hata hvy siwakatishi tamaa ni jambo la muda na demand, upo wakati ambao mtakuwa in demand msikate tamaa!!
 
Maswali kila Kona,utazaa lini? Beba mimba mwezi huu?
Kuzaa ni kudra za Mwenyezi Mungu,kila mwanamke anatamani kuwa na mtoto.ila mkiona mtu hajazaa jua muda wake Bado hata Sara wa ibrahimu alizaa na miaka tisini.msilazimishe watu kuzaa eti umri unaenda wakati kulea hamtaki.Gods time is the best !

Unaolewa lini?
Tutaolewa siku na saa MUngu aliopanga
Kuna majira na nyakati za kila kitu chini ya jua.

Unasex na Nani?
Sex sio mandatory.hakuna madhara yoyote kiafya au kiakili kwa mtu asiefanya sex

Wanawake wenzangu tufocus kwenye mipango ya maisha yetu na furaha zetu.tusikate tamaa wala kuyumbishwa na maneno.wala usikubali kupoteza nguvu zako na malengo yako kwa kutembea na mume wa mtu.

Kesho nitakuwa kazini naombeni order zenu
Shida ni pale una miaka hiyo,umetoa mimba,umekua na wanaume wengi.
Kama una miaka hiyo halafu ni bikira hamna shida,hata Kama una miaka hiyo na bikira yako ilitolewa kwa kubakwa Napo hamna shida
 
Si kweli kwamba kila mwanamke anatamani kuzaa.

Kuna siku nilikuwa nasikiliza BBC World Service, walikuwa wanahojiwa wanawake ambao wameamua kutozaa wala kuolewa kwa hiyari zao wenyewe, wengine wameamua kusafiri sehemu mbalimbali za dunia, wengine wameamua kuweka kipaumbele katika kazi zao.

Kwa hiyo, labda inawezekana kiutamaduni hapo ulipo kila mwanamke anaonekana hivyo, lakini kuna wanawake kibao hawana mpango wa kuolewa wala kuzaa.
Sema mashine wanapigwa Kama kawaida
 
Wa hapa kwetu ukisema hivyo wanasema unajifariji
Kila jamii na tamaduni zake mkuu. Mnataka na sisi tutembee na vichupi barabarani kama watu wa Magharibi ?

Ukiwa Afrika utaishi social life. Huku huwa hatuna private life.
 
Ukiona umefika umri huo na hakuna dalili za ndoa kabisa.jiongeze basi japo uzae hapo mtoto mmoja awe faraja kwako.
Angalau itakupa unafuu.
Shida wanawake wa umri huo wanakua wamechoka maana wametumika sana,unahitaji moyo kuweka dudu lako kwenye mapango yao
 
Inawezekana kwenye ujana wenu mlifanya makosa kujiona ni wazuri au kujiweka matawi ya juu sasa sura ikishaweka 6 paks wanamrudia mungu poleni sana pia muwaelimishe wadogo zenu poa
 
Back
Top Bottom