Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 29,285
- 83,683
Wewe ni kifaa.
Sijaelewa!
Wewe ni kifaa.
hahahahah...youre funny little mankafie mbele kitobo wewe
Wengi wao wakati wa ujana wametoa sana mimba na kukataa kuolewa,jua lishazama sasa ndio wanashtukaHahaha.. hawa Old cargo a.k.a magazeti ya jioni huwa wanajifariji kwa maneno mepesi sana.
Eti tufocus kwenye maisha wakati mtu yuko 35+ huko...hahahaha
MmmmhMaswali kila Kona,utazaa lini? Beba mimba mwezi huu?
Kuzaa ni kudra za Mwenyezi Mungu,kila mwanamke anatamani kuwa na mtoto.ila mkiona mtu hajazaa jua muda wake Bado hata Sara wa ibrahimu alizaa na miaka tisini.msilazimishe watu kuzaa eti umri unaenda wakati kulea hamtaki.Gods time is the best !
Unaolewa lini?
Tutaolewa siku na saa MUngu aliopanga
Kuna majira na nyakati za kila kitu chini ya jua.
Unasex na Nani?
Sex sio mandatory.hakuna madhara yoyote kiafya au kiakili kwa mtu asiefanya sex
Wanawake wenzangu tufocus kwenye mipango ya maisha yetu na furaha zetu.tusikate tamaa wala kuyumbishwa na maneno.wala usikubali kupoteza nguvu zako na malengo yako kwa kutembea na mume wa mtu.
Kesho nitakuwa kazini naombeni order zenu
Wakati wa ujana wao ndio walisema hivyo,kuna kama 2 nawajua,kuna mmoja alikataa kuolewa na jamaa yake aliempangia nyumba nzima na kumfungulia biashara,kisa dini while mwanzo alikubali,miaka kibao imepita alivyoona umri umeenda kaolewa na kiben 10 dereva wa hiace za kibaha na tena na kubadili dini aliyokataa kwa kitambi meneja miaka ileWengine hujifanya hawapendi kuolewa kwamba ni utumwa
Pambana na Hali yako mamaMaswali kila Kona,utazaa lini? Beba mimba mwezi huu?
Kuzaa ni kudra za Mwenyezi Mungu,kila mwanamke anatamani kuwa na mtoto.ila mkiona mtu hajazaa jua muda wake Bado hata Sara wa ibrahimu alizaa na miaka tisini.msilazimishe watu kuzaa eti umri unaenda wakati kulea hamtaki.Gods time is the best !
Unaolewa lini?
Tutaolewa siku na saa MUngu aliopanga
Kuna majira na nyakati za kila kitu chini ya jua.
Unasex na Nani?
Sex sio mandatory.hakuna madhara yoyote kiafya au kiakili kwa mtu asiefanya sex
Wanawake wenzangu tufocus kwenye mipango ya maisha yetu na furaha zetu.tusikate tamaa wala kuyumbishwa na maneno.wala usikubali kupoteza nguvu zako na malengo yako kwa kutembea na mume wa mtu.
Kesho nitakuwa kazini naombeni order zenu
Above all siyo hampendi kuwa kwenye relationship of any kind tatizo lenu wengi mlikuwa too selective wakati mkiwa kwenye peak na hayo ndo matokeo yake.Maswali kila Kona,utazaa lini? Beba mimba mwezi huu?
Kuzaa ni kudra za Mwenyezi Mungu,kila mwanamke anatamani kuwa na mtoto.ila mkiona mtu hajazaa jua muda wake Bado hata Sara wa ibrahimu alizaa na miaka tisini.msilazimishe watu kuzaa eti umri unaenda wakati kulea hamtaki.Gods time is the best !
Unaolewa lini?
Tutaolewa siku na saa MUngu aliopanga
Kuna majira na nyakati za kila kitu chini ya jua.
Unasex na Nani?
Sex sio mandatory.hakuna madhara yoyote kiafya au kiakili kwa mtu asiefanya sex
Wanawake wenzangu tufocus kwenye mipango ya maisha yetu na furaha zetu.tusikate tamaa wala kuyumbishwa na maneno.wala usikubali kupoteza nguvu zako na malengo yako kwa kutembea na mume wa mtu.
Kesho nitakuwa kazini naombeni order zenu
Shida ni pale una miaka hiyo,umetoa mimba,umekua na wanaume wengi.Maswali kila Kona,utazaa lini? Beba mimba mwezi huu?
Kuzaa ni kudra za Mwenyezi Mungu,kila mwanamke anatamani kuwa na mtoto.ila mkiona mtu hajazaa jua muda wake Bado hata Sara wa ibrahimu alizaa na miaka tisini.msilazimishe watu kuzaa eti umri unaenda wakati kulea hamtaki.Gods time is the best !
Unaolewa lini?
Tutaolewa siku na saa MUngu aliopanga
Kuna majira na nyakati za kila kitu chini ya jua.
Unasex na Nani?
Sex sio mandatory.hakuna madhara yoyote kiafya au kiakili kwa mtu asiefanya sex
Wanawake wenzangu tufocus kwenye mipango ya maisha yetu na furaha zetu.tusikate tamaa wala kuyumbishwa na maneno.wala usikubali kupoteza nguvu zako na malengo yako kwa kutembea na mume wa mtu.
Kesho nitakuwa kazini naombeni order zenu
Una miaka mingapi kwa sasa ?Kuwa na watoto mapema kuna furaha yake,mi nilikuwa natamani nikiwa 40 niwe na mtoto 20yrs,formula imekataa
Sema mashine wanapigwa Kama kawaidaSi kweli kwamba kila mwanamke anatamani kuzaa.
Kuna siku nilikuwa nasikiliza BBC World Service, walikuwa wanahojiwa wanawake ambao wameamua kutozaa wala kuolewa kwa hiyari zao wenyewe, wengine wameamua kusafiri sehemu mbalimbali za dunia, wengine wameamua kuweka kipaumbele katika kazi zao.
Kwa hiyo, labda inawezekana kiutamaduni hapo ulipo kila mwanamke anaonekana hivyo, lakini kuna wanawake kibao hawana mpango wa kuolewa wala kuzaa.
Kila jamii na tamaduni zake mkuu. Mnataka na sisi tutembee na vichupi barabarani kama watu wa Magharibi ?Wa hapa kwetu ukisema hivyo wanasema unajifariji
Shida wanawake wa umri huo wanakua wamechoka maana wametumika sana,unahitaji moyo kuweka dudu lako kwenye mapango yaoUkiona umefika umri huo na hakuna dalili za ndoa kabisa.jiongeze basi japo uzae hapo mtoto mmoja awe faraja kwako.
Angalau itakupa unafuu.
Huu ukweli mchungu sana.Miaka 35-45 mwanamke unajifariji kufocus na maisha.
Ukweli Ni kuwa huna option ya kuchagua Tena.
Umebakiwa na kutafuta mtu mlee watoto au ulee watoto wa ndugu zako.!!
Chukua kadi ya chama cha Mapinduzi upate access ya kula keki ya taifa la sivyo wapinzani mtabaki kwenye wrong track siku zote.Aah kumenoga kwa wao waliopo kwenye hiyo 'raiti traki' sio kina sie
Njoo nikupe formula nyingine mi ninayoKuwa na watoto mapema kuna furaha yake,mi nilikuwa natamani nikiwa 40 niwe na mtoto 20yrs,formula imekataa
Bila kupigwa mashineKati ya kuwa single bila mtoto na kuwa na mwanaume mpumbavu asiyejielewa kipi bora?
Na mm bado. Njoo pmNi kweli...bado mimi
ha ha ha ikoje hiyo mkuu?Njoo nikupe formula nyingine mi ninayo