Shida tunazozipata wadada wa makamo tulio single miaka 35 na kuendelea

  • Thread starter discount supermarket
  • Start date
D

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
456
Points
500
D

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2016
456 500
mpumbavu malaya aliyebeba mimba yako,bora yale matiti wangenyonya mbwa kuliko kunyonya tahira kama wewe,ndo shida ya kuzaliwa vichochoroni hii,mama ako malaya alikuwa anaweweseka baada ya kupitiliza siku zake,akakutana na baba ako ametoka kunywa pombe za kienyeji wakafilana ndo ukazaliwa wewe kitobo,hapo nyumbani kwenu napo wanahesabia wana mtoto, Foolish
ukikua utaacha kuwa mjinga ila tatizo linalokusumbua sana sasa hivi ni upumbavu...kuna uwezekano wa kujifunza kuwa mtu mzima mkuu ni hard feelings
 
Marianah

Marianah

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Messages
3,382
Points
2,000
Marianah

Marianah

JF-Expert Member
Joined May 20, 2019
3,382 2,000
Kazi ipo. Unapenda kilicho akilini mwako ndio kiwe akilini kwa mwingine.
Hicho nilichoandika sicho kilichopo akili mwangu bali ndicho kilichopo akilini mwa wanaume wengi na ukweli mnaujua ila hapa mtakataa tu maana wanaume hamjawahi kukubali ukweli hata siku moja hasa kama ukweli huo unatoka kwa wanawake
 
Marianah

Marianah

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Messages
3,382
Points
2,000
Marianah

Marianah

JF-Expert Member
Joined May 20, 2019
3,382 2,000
Mwenzangu bora kuwa single kabisaaa.................. nikiona hayo mateso ndugu yangu toka nitoke anayoyapata na huyo dubwasha alilofuga? Mungu amnusuru tuu ila nasikia juzi kamrushia mifuko yake ya shangazi kaja nje.. huenda ikawa salama kwake
Duuh pole yake ila mimi nilishajiapiza kuliko kuwa na mwanaume mzinzi au mnyanyasaji ni bora niwe single maisha yangu yote
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
94,785
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
94,785 2,000
Ni kweli kabisa ulichoandika na wengine wamo kwenye mahusiano kabisa ya kuishi nyumba moja au hata kwenye ndoa lakini wote ME na KE hawataki kuwa watoto na wana uwezo wa mkubwa wa kuwalea ila tu wana lifestyle ya kupenda kujiusha kwa namna mbali mbali ikiwemo kusafiri sehemu mbali mbali duniani, lifestyle ambayo ukiwa na watoto inakuwa ngumu. Mwanzoni nilikuwa nashangaa sana inakuwaje watu watake kuwemo kwenye ndoa lakini hawataki watoto lakini siku hizi nawaelewa.

Si kweli kwamba kila mwanamke anatamani kuzaa.

Kuna siku nilikuwa nasikiliza BBC World Service, walikuwa wanahojiwa wanawake ambao wameamua kutozaa wala kuolewa kwa hiyari zao wenyewe, wengine wameamua kusafiri sehemu mbalimbali za dunia, wengine wameamua kuweka kipaumbele katika kazi zao.

Kwa hiyo, labda inawezekana kiutamaduni hapo ulipo kila mwanamke anaonekana hivyo, lakini kuna wanawake kibao hawana mpango wa kuolewa wala kuzaa.
 
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
36,371
Points
2,000
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
36,371 2,000
Hicho nilichoandika sicho kilichopo akili mwangu bali ndicho kilichopo akilini mwa wanaume wengi na ukweli mnaujua ila hapa mtakataa tu maana wanaume hamjawahi kukubali ukweli hata siku moja hasa kama ukweli huo unatoka kwa wanawake
Wewe ni kifaa.
 
MLEVi Mmoja

MLEVi Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2019
Messages
569
Points
500
MLEVi Mmoja

MLEVi Mmoja

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2019
569 500
Ukikaribia menopause utazaa hadi na mstaafu
 
D

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
456
Points
500
D

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2016
456 500
kafie mbele kitobo wewe
hahahahah...youre funny little man
jaribu kuficha ujinga wako na upumbavu wako mkuu huoni aibu...we ni mpumbavu narudia tena huna akili
 
Mgagaa na Upwa

Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Messages
3,683
Points
2,000
Mgagaa na Upwa

Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2013
3,683 2,000
Hahaha.. hawa Old cargo a.k.a magazeti ya jioni huwa wanajifariji kwa maneno mepesi sana.

Eti tufocus kwenye maisha wakati mtu yuko 35+ huko...hahahaha
Wengi wao wakati wa ujana wametoa sana mimba na kukataa kuolewa,jua lishazama sasa ndio wanashtuka
 
babyfancy

babyfancy

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Messages
248
Points
500
babyfancy

babyfancy

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2018
248 500
Maswali kila Kona,utazaa lini? Beba mimba mwezi huu?
Kuzaa ni kudra za Mwenyezi Mungu,kila mwanamke anatamani kuwa na mtoto.ila mkiona mtu hajazaa jua muda wake Bado hata Sara wa ibrahimu alizaa na miaka tisini.msilazimishe watu kuzaa eti umri unaenda wakati kulea hamtaki.Gods time is the best !

Unaolewa lini?
Tutaolewa siku na saa MUngu aliopanga
Kuna majira na nyakati za kila kitu chini ya jua.

Unasex na Nani?
Sex sio mandatory.hakuna madhara yoyote kiafya au kiakili kwa mtu asiefanya sex

Wanawake wenzangu tufocus kwenye mipango ya maisha yetu na furaha zetu.tusikate tamaa wala kuyumbishwa na maneno.wala usikubali kupoteza nguvu zako na malengo yako kwa kutembea na mume wa mtu.

Kesho nitakuwa kazini naombeni order zenu
Mmmmh
 
Mgagaa na Upwa

Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Messages
3,683
Points
2,000
Mgagaa na Upwa

Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2013
3,683 2,000
Wengine hujifanya hawapendi kuolewa kwamba ni utumwa
Wakati wa ujana wao ndio walisema hivyo,kuna kama 2 nawajua,kuna mmoja alikataa kuolewa na jamaa yake aliempangia nyumba nzima na kumfungulia biashara,kisa dini while mwanzo alikubali,miaka kibao imepita alivyoona umri umeenda kaolewa na kiben 10 dereva wa hiace za kibaha na tena na kubadili dini aliyokataa kwa kitambi meneja miaka ile
 
Edison

Edison

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2010
Messages
537
Points
250
Edison

Edison

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2010
537 250
Maswali kila Kona,utazaa lini? Beba mimba mwezi huu?
Kuzaa ni kudra za Mwenyezi Mungu,kila mwanamke anatamani kuwa na mtoto.ila mkiona mtu hajazaa jua muda wake Bado hata Sara wa ibrahimu alizaa na miaka tisini.msilazimishe watu kuzaa eti umri unaenda wakati kulea hamtaki.Gods time is the best !

Unaolewa lini?
Tutaolewa siku na saa MUngu aliopanga
Kuna majira na nyakati za kila kitu chini ya jua.

Unasex na Nani?
Sex sio mandatory.hakuna madhara yoyote kiafya au kiakili kwa mtu asiefanya sex

Wanawake wenzangu tufocus kwenye mipango ya maisha yetu na furaha zetu.tusikate tamaa wala kuyumbishwa na maneno.wala usikubali kupoteza nguvu zako na malengo yako kwa kutembea na mume wa mtu.

Kesho nitakuwa kazini naombeni order zenu
Pambana na Hali yako mama
 
MLEVi Mmoja

MLEVi Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2019
Messages
569
Points
500
MLEVi Mmoja

MLEVi Mmoja

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2019
569 500
Akisema anauza sambuza mnitagi nije faster kweny huu uzi asa zile zenye choroko nitamu kwelikweli na chai ya maziwa
 

Forum statistics

Threads 1,315,997
Members 505,466
Posts 31,876,073
Top