Shida kwa wenye PID

Jan 16, 2019
18
3
PELVIC INFLAMMATORY DISEASE (PID)


Ni ugonjwa unao shambulia mfumo wa uzazi kwa mwanamke nimojawapo ya ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya kujamiiana.


HUATHIRI SEHEMU ZIPI
Mfumo wa uzazi.
Ovary.
Mirija ya falopian pamoja na sehemu nyingine za mfumo wa uzazi wa mwanamke.


SABABU ZA PID

Utoaji mimba usio salama
Wakati wa kujifungua
Magonjwa ya ngono Kama kaswende, gorrno her.



DALILI ZA PID


Maumivu Wakati kwa kukojoa
maumivu makali wakati wa kujamiiana
Kuwashwa maeneo ya nje na ndani ya uke
Maumivu ya tumbo chini ya kitovu upande wa kulia mwa tumbo
Homa na chafya za Mara kwa Mara
kutoka uchafu wenye rangi Kama usaha au wa kijani wenye kutoa harufu.



MADHARA YA PID
Kuvurugika kwa miangilio ya hormonal inbalance
kuchubuka na kuziba kwa mirija ya fallopian.
Kuwa na mzunguko mdogo au kukosa kabisa
kusababisha vimbe kwenye mirija na kwenye via vyote vya uzazi.



Je ni PID imekutesa njoo upone Sasa wasiliana nami kwa no 0717566549 WhatsApp 0765462490 call au tembelea page@afyamwanamke utapona na kuisahau PID

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom