Jidulamabambase
Member
- Nov 28, 2010
- 31
- 5
Shibuda unatafutwa uende Igunga kushindanisha kisukuma na magufuli bado haujarudi nje? Kumbuka wewe unamchango mkubwa kwetu licha ya tofauti kadha zinazojitokeza lakini bado tuna kuamini.

Shibuda wa CHADEMA ni sawa na Shy-ros wa CCM.
SHYROSE ni nani CCM?