Shibuda ndani ya Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shibuda ndani ya Arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by carefree, Jul 18, 2011.

 1. c

  carefree JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 19, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  shibuda leo nimemuona akiongea na watu mbele ya safari hoteli kama alikuwa anafanya mkutano nami nikamsogelea akawa anatoa ngonjera zake kama kawaida alikuwa na waandishi
  my take kwa nini kama alitaka kuzngumza na waandishi wa habari asitafute eneo lenye viti na meza kuliko kusimama pembeni ya barabara
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  arusha anafanya nini?au anataka kuungana na nape kwenye maandamano?
   
 3. F

  FUSO JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  Rose, kuku wa kienyeji ni wa kienyeji tu hata ukimfuga kithungu....
   
 4. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  2pe basi alikuwa na mada gani
   
 5. MANI

  MANI Platinum Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,411
  Likes Received: 1,865
  Trophy Points: 280
  Labda anataka kurudisha kadi kwenye mkutano wa Nape maana ndio fashion siku hizi !
   
 6. P

  Pilitoni JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 1,001
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  hakuna la maana,topic haieleweki.Toa kitu kinachoeleweka.
   
 7. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hii thread ni utumbo mtupu!
   
 8. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 3,336
  Trophy Points: 280
  Ba ha ha! Crap'
   
 9. T

  Triple DDD Senior Member

  #9
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Atapata kipigo kama ndio anatuchezea wana arusha
   
 10. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,638
  Likes Received: 4,746
  Trophy Points: 280
  Aangalie CCM watamuua halafu waisingizie CDM kama walivyomfanya Chacha Wangwe.
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Jul 18, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Amesemaje??
   
 12. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yawezekana ndiye alikula dili na madiwani wasaliti wa Chadema kuhusu mwafaka wa Umeya Arusha. Chamoto atakiona.
   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Jul 18, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180

  Ulitaka aongee na wanyama? tuambie alikuwa anawaambia nini hao watu, hiyo ndiyo point ya msingi.
  jamaa wengine bana!
   
 14. c

  carefree JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 19, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  watz matatizo kweli yaani kuwadokeza imekuwa kero , Shibuda anasema hajapata barua ya kutakiwa kujieleza , anasema kupinga posho ni agenda ya mbowe na zitto c ya cdm hivyo hajakosea chochote na atajibu mapigo akirudi dar baadaye .
   
 15. M

  Mzee Wa Maono Member

  #15
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe mwehu sana yaani ukiona mtu anaongea na watu tu unaanza kuleta uumbo hapa. leta issue za maana wewe, ukiona kichaka tu c..pi inajaa mervi.
   
 16. k

  kiloni JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kunguru hafugiki
   
 17. babayah67

  babayah67 JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 28, 2008
  Messages: 493
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Anaenda kurudisha kadi ya CDM kwenye mkutano mkutano wa CCM jumamosi ijayo. CCM wanaona Arusha ni tishio kwao, hivyo wakiweza andaa mkutano na CHIBUDA akarejesha kadi yake hapo A town, basi kwao wanaona watakuwa wamewini watu wa A Town

  My take: Hizi ni mbinu za kizamani saana, Magamba waelewe kuwa HATUDANGANYIKI!!!!!!
   
 18. M

  Mzee Wa Maono Member

  #18
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asiporudisha je tukuite nani, chagua jina, au tukuweke kwenye kundi gani la taarabu, ila wewe ni domo kunuka unadanganya sana watu ndio kazi mliotumwa na magwanda?
   
 19. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ndugu hukufanikiwa kumuhoji japo sekunde?
   
 20. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  au mkuu ulikuwa unapita tu..
   
Loading...