Shibuda na Selelii waimbe sasa wimbo wa mshike ndege tunduni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shibuda na Selelii waimbe sasa wimbo wa mshike ndege tunduni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kalunguine, Oct 26, 2010.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kama kuna wanasiasa wanaokenua na meno yote 42 yanaonekana ni Shibuda na Selelii ambao wamejikomboa kwa kukimbia kutoka CCM.

  Je wanaujua wimbo wa Mshike, mshike ndege tunduni tuliowajanja tumekimbia x2.
  Shibuda na Selelii wamekuwa ndege wajanja.

  [​IMG][​IMG]
   
 2. R

  Reyes Senior Member

  #2
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  seleli kaenda wapi? UPDP au kwa mtengeneza mabomu?
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,523
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  SELELII yuko wapi?
   
 4. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #4
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  ni mwanachama mfu bado, sijasikia kama amehama, otherwise vyombo vya habari vyenye akili km mwananchi, raia mwema, tanzania daima,......vingeripoti ishu sensitive kama hiyo.
   
 5. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  kama Dr. LWAITAMA.
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Sijamsikia sasa naona yuko kimya akiangalia upepo wa uchaguzi tusubiri uvhaguzi uiishe labda ataibuka
   
 7. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nachojua mimi ni kuwa Selelii ni mwanachama hai wa CCM!!!Mtoa habari toa ufafanuzi wa kutosha!!!
   
 8. Panga La Shaba

  Panga La Shaba JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2010
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 209
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mvumilivu ula mbivu,Selelii anajua atarudi tu.....kwenye chat,mambao aliyo yafanya ni makubwa...
   
 9. K

  Kabengwe JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kuhusu Selelii ni uzushi!
  Mtoa habari hajui nini anaongea! Hii habari ipelekwe kwenye jokes au udaku!
   
 10. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Yawezekana kateleza pengine alikua anamaanisha Fred Mpendazoe
   
 11. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jamani vipi bashe?
  Nilisikia kahama CCM, ila chanzo chenyewe sina Imani nacho :tape:
   
 12. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bashe alichofanyiwa ni Mungu mwenyewe atamlipia, JK amuogope Muumba wake, sio haki kitendo alichomfanyia Bashe:nono:
   
Loading...