Kiranga alivyowaambia huyu ataingia bungeni na kuwageuka wapinzani mlimuona analeta ubishi, sasa kawapa message clear chama "chake cha mapinduzi". Anawaambia he is open for negotiations, mpaka kwa mifano miingi ya wacheza mpira, in other words bado wanaweza kuja kuwa outbid CHADEMA.
Na bado mtaona vituko zaidi.
Point ni kuwa akiboronga wananchi hawata mrudisha hiyo utabiri wako wa kupiga bao ni kuusubiri ,ila kwa kauli hii kufikia hitimisho ni mapema hima hima watz ahaaaaaaaa,chama changu cha mafi..Kiranga alivyowaambia huyu ataingia bungeni na kuwageuka wapinzani mlimuona analeta ubishi, sasa kawapa message clear chama "chake cha mapinduzi". Anawaambia he is open for negotiations, mpaka kwa mifano miingi ya wacheza mpira, in other words bado wanaweza kuja kuwa outbid CHADEMA.
Na bado mtaona vituko zaidi.
Point ni kuwa akiboronga wananchi hawata mrudisha hiyo utabiri wako wa kupiga bao ni kuusubiri ,ila kwa kauli hii kufikia hitimisho ni mapema hima hima watz ahaaaaaaaa,chama changu cha mafi..
Ametoka juzi, it will take time maneno CCM kumtoka[/COLOR].