Elections 2010 Shibuda kateleza au ni mazoea tu? hebu sikiliza video hii

Hofstede

JF-Expert Member
Jul 15, 2007
3,577
1,107
Shibuda bado anaonekana ana genes za kijani kichwani mwake.
 
Last edited by a moderator:
Kiranga alivyowaambia huyu ataingia bungeni na kuwageuka wapinzani mlimuona analeta ubishi, sasa kawapa message clear chama "chake cha mapinduzi". Anawaambia he is open for negotiations, mpaka kwa mifano miingi ya wacheza mpira, in other words bado wanaweza kuja kuwa outbid CHADEMA.

Na bado mtaona vituko zaidi.
 
In politics there are no permanent enemies or friends. Only permanent interests....
 
Kiranga alivyowaambia huyu ataingia bungeni na kuwageuka wapinzani mlimuona analeta ubishi, sasa kawapa message clear chama "chake cha mapinduzi". Anawaambia he is open for negotiations, mpaka kwa mifano miingi ya wacheza mpira, in other words bado wanaweza kuja kuwa outbid CHADEMA.

Na bado mtaona vituko zaidi.
Point ni kuwa akiboronga wananchi hawata mrudisha hiyo utabiri wako wa kupiga bao ni kuusubiri ,ila kwa kauli hii kufikia hitimisho ni mapema hima hima watz ahaaaaaaaa,chama changu cha mafi..
 
Jamaa wamuangalie anaona mbali zaidi ya 2010, Huyu jamaa usijekuta akawa kama Steven Wasira(Tyson) mwaka ule alipotupwa kando na CC na nafasi yake kupewa Jaji Warioba, akahamia upinzani akashinda leo hii yupo wapi?
 
Point ni kuwa akiboronga wananchi hawata mrudisha hiyo utabiri wako wa kupiga bao ni kuusubiri ,ila kwa kauli hii kufikia hitimisho ni mapema hima hima watz ahaaaaaaaa,chama changu cha mafi..

Kutabiri kuwa mwanasiasa ataigeuka kambi aliyomo sasa ni sawa na kutabiri kuwa siku moja jua litachomoza!! Wanasiasa wanajulikana kwa unafiki wao kwa hiyo mimi sitashangaa hata kidogo kama huyo jamaa akirudi CCM kwa sababu kutakuwa hakuna jipya hapo. Ndiyo maana kwenye kitabu changu mimi fasili ya mwanasiasa ni mnafiki na ya siasa ni mchezo mchafu.
 
Bado sijaona kauli yoyte mbaya ya kuanza kutoa hukumu ya utabiri kwa mh. Shibuda though katika siasa anything can happen especially kwa wanasiasa wetu wa kiafrica wapo kwa maslai yao binafsi zaidi.
 
Tatizo siyo shibuda atakuwa kakigeuka chama cha Chadema, bali atakuwa amewasaliti wa tanzania wote wapenda mageuzi, na hivyo atakuwa kajiweka pabaya 2015, na asisahau kuwa Tanzania hii(ya upinzani) ndiyo imeanza kushika kasi hatutarudi nyuma. TUSIMRAUMU NI MAPEMA SANA
 
Tusisahau huyu tangu utoto wake alikuwa ccm damu. Ili kutakasika kabisa anahitaji kamuda zaidi kuwa na damu ya chadema (upinzani). Ingawa akiamua kurudi misri hakuna atakayemzuwia.
 
Shibuda hana matatizo na CCM kama chama tatizo lake kubwa ni Kikwete na Makamba; hawa wakiondoka na wengine kuingia Shibuda will likely go back given the right price!! Nia yake ilikuwa kuingia bungeni na asingeweza kuingia through ccm!! AMEUKIMBIA MSIKITI LAKINI BADO NI MUISLAM!!
 
mbona tunataka kulaumu laumu.. si vema kutoa uamuzi/judgement ya kaneno kamoja,... ni vema tutafakari sana context nzima.. sioni Shibuda kuwa msaliti na baadae kurudi CCM.. tusianze speculations zisizo na msingi wowote. hebu sikiliza hiyo clip kwa ufasaha kabisa na maneno anayosema na mifano ya Sarawat na Slaa aliyotoa.. na kamalizia na nini!!!
so sipendi kumhukumu kwa clip hii!!
 
Shibuda na Zitto ni watu wa kuangaliwa kwa macho makali. Besides, mara ya mwisho nilipopitia kanuni za Chadema nilikuta wameeleza kuwa wabunge wote wa chadema watakuwa automatically wajumbe wa kamati kuu....sasa kwa hili la shibuda kama kanunu ile bado ipo hai, waifanyie marekebisho haraka maana hapo ndipo chadema itakapopigwa bao muungwana huyu akiwa mjumbe wa cc ya chadema.
 
Ametoka juzi, it will take time maneno CCM kumtoka[/COLOR].

Nilikuwa nasubiri kwa hamu mchango wako. Thanx, maneno yako machache lakini yana utulivu na hekima. Shibuda kaingia CHADEMA juzi, sina hata uhakika kama kamaliza kuusoma muongozo wa chama, apewe muda jamani tusikimbilie kumlaumu. Ila na wewe shibuda sasa tunataka tuanzae kusikia maneno kama "hakuna kulala" "peoples' power" "kunja ngumi" etc, sio tena "kidumu chama cha..." hapo utatuboa.

Kila la heri mpiganaji magale!
 
Ulimi hauna mfupa
Kinachojalisha ni yale aliyo nayo moyoni na dhamira yake.
 
Back
Top Bottom