Shibuda, Cheyo na Bunge la Shikamoo Babu Kama Hamjajiandaa Mtapasuka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shibuda, Cheyo na Bunge la Shikamoo Babu Kama Hamjajiandaa Mtapasuka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Albedo, Feb 11, 2011.

 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Leo nimefuatilia Bunge japo Kidogo kile Kipindi cha Jioni, Nimesikia Michango ya Wabunge wawili John Shibuda ( CHADEMA) John Cheyo ( UDP). Kile Nilichokiona leo katika Nyuso za Wabunge hawa nilikiona Kwenye Sura ya Pius Msekwa Siku ile ya Mjadala wa Tanzania Tuipendayo.

  Sura ya Mshangao na Inayoonesha kwamba hawa Wazee wanafikiri wanadeal na UVCCM au vijana wa Zamani ambao wengi hawakuwa na Exposure kubwa sana ambao walilelewa katika misingi kwamba Mkubwa Akikosea basi Hakosolewi.

  Wanashindwa kuelewa kwamba Ndani ya Bunge Kinachoangaliwa Siyo Umri ndiyo maana hata hao wabunge vijana waliwashinda Wazee na kuingia Bungeni. Wanashindwa Kuelewa kwamba Pinda anapokuwa Bungeni hana Cheo cha Baba, Mjomba wa Kaka wala babu, yeye ni Waziri Mkuu ambaye anabeba matumaini ya Watanzania wengi.

  Hawa wazee wanataka kumeintai 'Status Quo" wanashindwa kuelewa kwamba Tanzania ya Leo kamwe haiwezi kuwa ya jana hata kwa kutoa Kauli za Vitisho

  Napenda kuwashauri hawa Wazee kwamba Maadam ni Wabunge, ni Mawaziri basi wategemee Kauli za Kebehi, Kejeli nk na nawashauri wasijaribu kwa Vitisho vya Uzofu kuwatisha Vijana na Wasipokuwa Makini hawa Vijana wanaowatisha watasababisha wao wang'oke kwa sababu wapiga kura Wengi ni Vijana

  Ningependa niwaambie kwamba Kama Hamjajiandaa na Bunge lenye Wanaharakati ni Bora Mjondoe Mapema Maana Miaka Mitao ni Mingi sana Msipokuwa makini Mtakufa kwa Pressure.
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Inaonekana wazee wanaimba kama kasuku!:clap2:
   
 3. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nimesoma Gazeti la Mwananchi naona Mzee wangu wa Maswa anaanza kuona Nyakati, sijui na yeye Maandamano yamemtisha? Anyway namshauri asiogope Harakati maana hiki ni Kizazi cha Harakati. Kila lakheri Shibuda waambie na Akina Cheyo wasijeshangazwa kama anavyoshangazwa Gadaf
   
Loading...