Kiraka JF-Expert Member Feb 1, 2010 3,838 3,081 Nov 1, 2010 #1 Chadema 17075 CCM 17014 Kama kawa wamebana wameachia!! Matokeo Rasmi Channel ten
Gosbertgoodluck JF-Expert Member Mar 3, 2008 2,855 401 Nov 1, 2010 #2 Aisee hiyo ni habari reliable au ndo tetesi tu?
U urasa JF-Expert Member Aug 12, 2010 434 2 Nov 1, 2010 #3 sipati picha atakapokuwa bungeni hasira zake kwa ccm
Kisima JF-Expert Member Oct 8, 2010 4,094 4,396 Nov 1, 2010 #4 Mwacheni shibuda ajirambe kikurya(buryaaaaaaaaa buryaaaaa ) jamani ni mtu jasiri huyu!
Gosbertgoodluck JF-Expert Member Mar 3, 2008 2,855 401 Nov 1, 2010 #6 Ebu piga picha timu nzima ya askari wapya wa chadema watakavyokuwa bungeni.
N Nampula JF-Expert Member Sep 26, 2007 254 2 Nov 1, 2010 #7 safari hii chadema wamepata mtu maana anawajua ccm ndani nje.............................mbona bunge tamu sfari hii
safari hii chadema wamepata mtu maana anawajua ccm ndani nje.............................mbona bunge tamu sfari hii
Bhbm JF-Expert Member Oct 31, 2009 714 208 Nov 1, 2010 #9 Dah ila imeniuma sana kupita kiasi kwani hapo katika hiyo timu amekosekana Rwakatale.