Shibuda awa mwenyekiti mpya CHADEMA mkoa wa Shinyanga

(ukaskazini unakusumbua)tatizo lenu chadema mnataka viongozi wote watokee kaskazini (moshi na arusha) yani watu kama kina zitto na shibuda wanapata tabu kweli kwenye hiki chama,sasa kama chadema kikitaka kife na kionekane ni chama cha wachaga basi wamstopishe shibuda kua mwenyekiti wa shinyanga chadema.nasikia mchezo mzima ameucheza zitto kabwe mwana mapinduzi kijana ambaye ndiyo roho ya uhai wa chadema
ficha upumbavu wako....
 
Kwani Shonyanga iko kusini, mashariki au magharibi mwa TAnzania!!?????????????????:help:
 
Jana Baraza kuu la CHADEMA Mkoa wa Shinyanga limemtangaza John Magale Shibuda kuwa Kaimu Mwenyekiti wa mkoa wa Shinyanga (Soma majira la leo).Habari hizi zilinishtua kidogo nikawa na maswali machache:
Kweli Shibuda ametubu na kuutii uongozi wa Taifa chini ya Mh Mbowe.??
Je,Shibuda ataacha kutofautiana na viongozi wenzake hasa wabunge??
Si ni Shibuda huyuhuyu aliyekashifu wabunge wa Chadema bungeni??
Si ni Shibuda huyuhuyu aliyesema Mh Wenje hana adabu??
Si ni Shibuda huyu huyu aliyesema Chadema ni mkusanyiko wa wanaharakati wasio wanasiasa??
Je,Shibuda si alileta vurugu kwenye vikao vya wabunge wa Chadema huko Bagamoyo??
Ikumbukwe Shibuda ni mbunge pekee wa jimbo ambaye hakupewa wizara kivuli bungeni.

Nimeeleza yote haya si kwa chuki na Shibuda bali changamoto kwake kwamba alikuwa amepoteza imani na wanachama wengi kwa matendo yake yasiyotabirika na anapaswa kurejesha heshima yake kwa kutii viongozi wa chama na wabunge wa chama chake...

Nadhani ni wewe peke yako tu uliyepoteza imani naye. Mh Shibuda ni mbunge na mwanachama halali wa Chadema na ana haki ya kuomba uongozi. Tuwe wavumilivu tukitofautiana.
 
Sio mbaya shibuda akipewa second chance kwani kutofautiana mitazamo kwenye chama sio ugomvi au kutokuwa commited kwenye chama naomba wana JF tupevuke kifikra na tuwe na mitazamo chanya daima, akiboronga atabainika na atatimka mwenyewe, hatuwezi kupata viongozi malaika jamani, na tofauti ya mawazo sio migogoro ni changamoto, shibuda ni mgeni ndani ya chama atapevuka tu na kuwa mkakamavu zaidi kama makamanda wengine.
 
Habari hizija thibitishwa msitoane macho ni sidhani kama CDM wanaweza fanya haraka hivyo.
 
(ukaskazini unakusumbua)tatizo lenu chadema mnataka viongozi wote watokee kaskazini (moshi na arusha) yani watu kama kina zitto na shibuda wanapata tabu kweli kwenye hiki chama,sasa kama chadema kikitaka kife na kionekane ni chama cha wachaga basi wamstopishe shibuda kua mwenyekiti wa shinyanga chadema.nasikia mchezo mzima ameucheza zitto kabwe mwana mapinduzi kijana ambaye ndiyo roho ya uhai wa chadema

Kwani nani kasema lazima Kaimu Mwenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga awe Mchagga? Watu wana wasiwasi wa credibility ya Shibuda thats all....just make him credible kabla ya kukimbilia utetezi wa kikabila
 
Nadhani ni wewe peke yako tu uliyepoteza imani naye. Mh Shibuda ni mbunge na mwanachama halali wa Chadema na ana haki ya kuomba uongozi. Tuwe wavumilivu tukitofautiana.
Ni mtu wa kwetu lakini binafsi simkubali labda ajirekebishe......
 
I think Chadema mnatakiwa kuwa waangalifu na Shibuda, but its not bad to try him kwakuwa tunataka kuona sura ya taifa kwenye chama hiki mbadala..... kuondoa ile dhana ya ukabila, ukaskazini etc, lakini rules za gud governance zinaendelea mtu akichemka anashughulikiwa kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa...
 
makubwa madogo yana nafuu! Shibuda anapenda ubwana mkubwa na kunyenyekewa sana ndicho kilichomtoa ccm baada kukosana na viongozi wa ccm wilaya huwa anapenda siasa za makundi na mda wowote kuweza kuyavunja na kubaki na msimamo wake kimaamuzi, huwa ana target kubwa sana ili kufikia malengo yake kwa naona anataka kuingia kwenye kamati kuu ili ale sahani moja na mwkt taifa na watendaji wote cdm kimaamuzi na mawazo yake huwa ni kosntructive, hata alipokuwa ccm vivyo hivyo, na anapenda kuwa msemaji mkuu mtamsikia tu kwenye media sasa nadhan kichaa kapewa rungu yeye hatahangaika na cdm watendaji wa serikal ya ccm ndio watapata shida.
 
Nadhani amesoma alama za nyakati kwani wananchi wa shinyanga si unajua akili zao zilikolala watakubali wapi kubururwa ,kama wamemchagua wameamua wenyewe apewe mda tusianze kutabiri matokeo
 
(ukaskazini unakusumbua)tatizo lenu chadema mnataka viongozi wote watokee kaskazini (moshi na arusha) yani watu kama kina zitto na shibuda wanapata tabu kweli kwenye hiki chama,sasa kama chadema kikitaka kife na kionekane ni chama cha wachaga basi wamstopishe shibuda kua mwenyekiti wa shinyanga chadema.nasikia mchezo mzima ameucheza zitto kabwe mwana mapinduzi kijana ambaye ndiyo roho ya uhai wa chadema

Hivi mwenzetu unafikiri kwa kutumia nini basi unautapiamlo wa akili au akili zako hazina akili
 
Jana Baraza kuu la CHADEMA Mkoa wa Shinyanga limemtangaza John Magale Shibuda kuwa Kaimu Mwenyekiti wa mkoa wa Shinyanga (Soma majira la leo).Habari hizi zilinishtua kidogo nikawa na maswali machache:
[...]Si ni Shibuda huyu huyu aliyesema Chadema ni mkusanyiko wa wanaharakati wasio wanasiasa??
[...] Nimeeleza yote haya si kwa chuki na Shibuda bali changamoto kwake kwamba alikuwa amepoteza imani na wanachama wengi kwa matendo yake yasiyotabirika na anapaswa kurejesha heshima yake kwa kutii viongozi wa chama na wabunge wa chama chake...

Hiyo nyekundu make sense, inaweza kuwa kweli, Mfano: -
  1. CDM kupinga matokeo kwa kulalamika chinichini na kukataa maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita.
  2. CDM kukataa kumfukuza Chitambala hadi akaondoka mwenyewe huku taarifa za kuhujumu chama zilivuja mapema sana, hiyo haiwezekani kwa chama cha siasa.
  3. CDM kuipinga CCM na kupambana nayo bila kukubali kuwa vibaraka wa CCM hili waungane kumnyonga Mtanzania pamoja Bungeni, siyo kitu kilichozoeleka kwa wanasiasa wa Tanzania, kwa maana hiyo wana-siasa hapo ni Hamed Rashid, Latonga Mrema, John Momose Cheyo, zitto Kabwe, na wengineo wengi; wanahakati bado wanapambana kuikomboa nchni hawataki siasa Dr Slaa, Mbowe, Lema, Marando na wengineo.
 
Back
Top Bottom