Bk7*siku 30=210,000/Hao wote ni majasusi wanatumikia Taifa kwa njia tofauti
Ni TISS ambaye akilewa iwe msibani au harusini anakojoa ukutani tu.Kuna wasemao shibuda ni TISS ati
Jamaa kiboko yeye anaifukuzia bk7Halafu huwa anabishana na watu ambao wako kwenye time zones mbalimbali baadae anajikuta anakesha wakati wenzake wanalala na kupeana zamu hahahaaa!!
Anaweza akawa chizi usicheze na usingizi
Kuna wasemao shibuda ni TISS ati
Hiyo ni sawa na Dalali ngapi? $91.30; yaani kwa siku anaambulia $3.04! Bahati yake kavuka kiwango cha umaskini cha chini ya $1.90 kwa siku.
Ulishaharibu huko juu, lakini hapa ndipo umeanguka kabisa!Kwa hiyo kimsingi tunakua na Vyama viwili vikubwa CCM inayoamini sera za kulia ( rightist ) na Chadema ( leftist ) na kuna nafasi ya Chama Cha Tatu anbacho kitakua kinatumika kufanya coalitions ( mseto)
Ni TISS ambaye akilewa iwe msibani au harusini anakojoa ukutani tu.
Mi namuona hajachanganya kabisa tena anaonesha kutokaa upande mmoja na huo ndio ukweli. TISS wanatakiwa kuwa kotekote ili usalama wa taifa uwepo la sivyo tutakuwa pabaya. Huyo Shibuda(boxer) wa Moshi Tech ni kweli alipata vetting na wao, baadae ........ kabla hata hawa General tyre, na baadae.... ndio hivyoUlishaharibu huko juu, lakini hapa ndipo umeanguka kabisa!
Oooh, na-'edit' kwa kuongezea mstari huu: nilikuwa sijatambua mwandishi wa bandiko hili! Ni mkuu 'Philemon Michael'? Imekuwaje sasa mkuu, mbona ni kama umechanganya?
Hicho kijamaa ni kiroboti tukipuuze tu.Sasa hata huiangalii hiyo clip ila unakimbilia kukoment hivi wewe ni mzima kweli?!