minda
JF-Expert Member
- Oct 2, 2009
- 1,068
- 65
mgombea ubunge katika jimbo la maswa magharibi (chadema), john shibuda, amemtaka mgombea urais kupitia ccm, rais jakaya kikwete, kuachana na harakati za kuwania nafasi hiyo na badala yake ampigie kura dk. slaa:
"Ndugu yangu Kikwete, kama kweli unamwogopa Mungu, basi mpigie kura Dk. Slaa ili awe Rais wa Tanzania...ikiwa unamuenzi Mwalimu Nyerere, achia ngazi, ukapambane na ufisadi ndani ya CCM."
Source: Nipashe - 13 septemba, 2010.
wakuu,
hii imekaaje?
hii imekaaje?