Cryptocurrency ni kweli siyo upigaji; kwa siku tano nimeingiza faida ya dola 900 za kimarekani

Status
Not open for further replies.
Shiba Inu ilipanda kwa matarajio kuwa Robinhood itailist. Muda ambao ulitarajiwa Robinhood watailist ulipofika na haikufanya hivyo SHIB ikaacha kupanda. Robinhood wasingeweza kuilist kwa vile haina maisha kivilee, yani watu wainunue ikue kisha waiuze ili kununua ETH au BTC. Sasa kwa hali hiyo Robinhood wasingeweza risk maisha yao maana wana mabomu mengine wameyafuga pia.

Sababu kubwa ya Robinhood kutoilist SHIB ni kuwa 72% yake inamilikiwa na whales ambapo mmoja alikuwa na 42% ya coins zote kwenye mzunguko. Huyo jamaa angeamua kuuza coins zake ghafla kwa pamoja ili apate faida angeshusha thamani mpaka karibia na sifuri. Yani SHIB inategemea huruma za whales ambao hawana hasara maana walinunua mapema sana hata ishuke 80% ya thamani yake hawapati hasara.

Off course wametransfer kidogo ila ikitokea whale mmoja akauza zote nyie wengine mtajua hamjui
the same ilitokea kweny onyxcoin mpaka ikatolewa nje ya soko maana wale viongozi walidump billion za coins ikadrop sana
 
Ile coin iliyojizoelea umaarufu kwenye Crypto currency nakununuliwa kwa wingi kwa matarajio ya kutajirisha watu inazidi kushuka Kwa kasi.

Shiba Inu inaendelea tu kushuka na kuleta taharuki, huzuni na kukata tamaa. Wengi hawaanini na kujuta kwanini waliwekeza na wengi wanafanya kutoka hela yao hata KWA hasara.

Wachumi walitabiri ikifika November Shiba itapanda Hadi one cent$. Kuna member humu majuzi alileta uzi akiomba ushaur jinsi ya kununua Shiba Inu. Pia kuna Latvia alidai kanunua 110 m Shiba coins.

Hadi navyoandika huu uzi Shiba inazidi kushuka. Je wadau tusikate tamaa unaweza ikapanda? Wengine wanashaur ni vizur kuinunua Sasa hivi ilivyoshuka.

Wanadai Shiba Inu ilianzishwa kuiangusha Doge coin na sasa ni zamu yake kuanguka. Sasa coin ya Elon ndio mpango mzima.

Gushleviv mud-oil-chafu Greg50
Hivi kuna memecoin ambaya ilishawahi kuvuta $0.5 and stayed above for a while.
 
Hold hold hold .....


Mimi siuzi Shiba Inu mpaka 2030....


Nasema hivi msimsikilize huyu na mimemko yake ,Hana analolijua kuhusu crypto .....

Shiba Inu inapanda na kushuka but baada ya miaka 10 haitakuwa hapo .....

Sisi wabongo tunataka utajiri wa haraka haraka Kama mtoa mada lazima tupoteane ..

Hold hold hold ....

The future is crypto
 
Kwa sasa Kuna alot of fear kwenye shiba inu coin. Ndio muda mzuri sasa wa kubuy
Screenshot_20211127-101924_Chrome.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom