Shetani hajawahi kumshinda Mungu! Kila aliyehujumu Demokrasia nchini Tanzania kukiona cha Mtema kuni

Na kwa kauli ya mama ile kulisuka upya baraza kuna watu hasa yule mtaalamu wa kutoa mijicho kama mamba sijui kama siku mbili hizi anapata usingizi.
 
View attachment 2070855

Siku zote tumeandika humu kwamba Kutenda uovu ni laana na adhabu yake ni kubwa sana kiroho , Nchi hii inaongozwa na Katiba , hata kama ni mbovu ni lazima ifuatwe na hasa kwenye vipengere vya Haki , Usawa na Demokrasia .

Kila aliyeshiriki kuhujumu demokrasia kwenye nchi hii , iwe kwa kutumwa au kwa kujituma , iwe kwenye Majukwaa ya siasa , uchaguzi au bungeni , tena bila kujali cheo chake , akae akijua kwamba alitenda kazi ya Shetani , na hatoukwepa mkono mchungu wa Mungu , Mshahara wa dhambi ni mauti , ni LAZIMA ATALIPWA KWA MATENDO YAKE .

Wale wote mlioshiriki kuua demokrasia ya Tanzania , na nyinyi mliokuwa na ushawishi lakini mkanyamaza , ni vema mkaanza kujiandaa KUSHUGHULIKIWA NA MUNGU , Hii ni kwa sababu ule muda mliopewa wa kutubu UMEKWISHA , Mungu atamtandika mmoja mmoja kwa wakati wake , iwe kwa kuwatwaa ama kwa kuwafedhehesha hadharani , Hakutakuwa na cha MSWALIE MTUME , wala nini .

Majuto ni Mjukuu
Hiyo Demokrasia haijawah kuwepo Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣
 
Huyu nikisikia amekata roho nitafanya sherehe ni moja ya mtu aliyenajisi haki za Watanzania wengi. Zamu yake inafika.
 
View attachment 2070855

Siku zote tumeandika humu kwamba Kutenda uovu ni laana na adhabu yake ni kubwa sana kiroho , Nchi hii inaongozwa na Katiba , hata kama ni mbovu ni lazima ifuatwe na hasa kwenye vipengere vya Haki , Usawa na Demokrasia .

Kila aliyeshiriki kuhujumu demokrasia kwenye nchi hii , iwe kwa kutumwa au kwa kujituma , iwe kwenye Majukwaa ya siasa , uchaguzi au bungeni , tena bila kujali cheo chake , akae akijua kwamba alitenda kazi ya Shetani , na hatoukwepa mkono mchungu wa Mungu , Mshahara wa dhambi ni mauti , ni LAZIMA ATALIPWA KWA MATENDO YAKE .

Wale wote mlioshiriki kuua demokrasia ya Tanzania , na nyinyi mliokuwa na ushawishi lakini mkanyamaza , ni vema mkaanza kujiandaa KUSHUGHULIKIWA NA MUNGU , Hii ni kwa sababu ule muda mliopewa wa kutubu UMEKWISHA , Mungu atamtandika mmoja mmoja kwa wakati wake , iwe kwa kuwatwaa ama kwa kuwafedhehesha hadharani , Hakutakuwa na cha MSWALIE MTUME , wala nini .

Majuto ni Mjukuu
Mkuu imani yako kuwa Mungu anawasikiliza ninyi tu na wengine hawasikilizi ni porojo za Abunuwasi, mtakenua sana meno lakini mnchofurahia , hakiwahusu ungefurahia kama timu yote ingeondoka,hizi ni mbwembwe tu , ugomvi wa ndugu mtu baki haukusaidia chochote mtu baki.
 
Mungu hayuko pamoja na watenda dhambi , na ndio maana akaweka maandiko kwamba Mshahara wa dhambi ni mauti
 
View attachment 2070855

Siku zote tumeandika humu kwamba Kutenda uovu ni laana na adhabu yake ni kubwa sana kiroho , Nchi hii inaongozwa na Katiba , hata kama ni mbovu ni lazima ifuatwe na hasa kwenye vipengere vya Haki , Usawa na Demokrasia .

Kila aliyeshiriki kuhujumu demokrasia kwenye nchi hii , iwe kwa kutumwa au kwa kujituma , iwe kwenye Majukwaa ya siasa , uchaguzi au bungeni , tena bila kujali cheo chake , akae akijua kwamba alitenda kazi ya Shetani , na hatoukwepa mkono mchungu wa Mungu , Mshahara wa dhambi ni mauti , ni LAZIMA ATALIPWA KWA MATENDO YAKE .

Wale wote mlioshiriki kuua demokrasia ya Tanzania , na nyinyi mliokuwa na ushawishi lakini mkanyamaza , ni vema mkaanza kujiandaa KUSHUGHULIKIWA NA MUNGU , Hii ni kwa sababu ule muda mliopewa wa kutubu UMEKWISHA , Mungu atamtandika mmoja mmoja kwa wakati wake , iwe kwa kuwatwaa ama kwa kuwafedhehesha hadharani , Hakutakuwa na cha MSWALIE MTUME , wala nini .

Majuto ni Mjukuu
Narudia tena ili wale ambao hawakuelewa waelewe sasa .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom