Hujui kitu wameomba ile mbaya nje ya mahakama ndiyo maana imeondolewa kwa kifungu cha 225. Wakileta ujinga inarudishwa. Wewe endelea kubeba mabox huko kwa mabeberu ya TZ hayakuhusu.Wafungue kesi hawa kudai fidia ili kukomesha hizi kesi za kubambikiwa na kichaa.