Shetani hajawahi kumshinda Mungu : Kesi ya kizushi dhidi ya Wabunge wa Chadema yatupwa Morogoro

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,369
217,427
FB_IMG_1547230792963.jpg


Wanazidi kuumbuka .
 
Wakifungwa mnapiga kelele wamefutia kesi mnaanza kuleta ujinga!! Tutawarudisha ndani tena! Anayebisha agune tu muone!!
Ha ha heko bashite Enzi zako hizi walikuwepo akina Ridhiwani ukiwa funga Gidamu za viatu leo waliokuwa wanakutuma wewe unatuma akina musiba lemutuz jerry Muro unatamba lakini at your age of 36 mind your words people are counting you you will suffer the consequences only time will tell
 
Hahahaha mkishinda kesi mnaipongeza mahakama ila siku ikitokea hukumu ambayo Inawaumiza mnaanza kulia Lia.tukubaliane kitu kimoja kwamba mahakama zinafanya kazi vizuri mfano Ni hii kesi yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shetani hajawahi mshinda Mungu ndio maana sasa hivi chama cha majizi chafema wanapotea kwenye ramani. Hii yote ni mipango ya aliye juu. Mungu atukuzwe kwa hili.
Ha ha munajipooza wamepotea kwenye ramani huku mwenyekiti wako na wewe mwenyewe kutwa kuwataja
 
Back
Top Bottom