Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,377
- 217,440
Wanazidi kuumbuka .
kukichwa kutambazuka lakini kabla jua halijachomoza kiza huwa totoro
Wakifungwa mnapiga kelele wamefutia kesi mnaanza kuleta ujinga!! Tutawarudisha ndani tena! Anayebisha agune tu muone!!
Shetani hana mamlaka ya kuamua .Wakifungwa mnapiga kelele wamefutia kesi mnaanza kuleta ujinga!! Tutawarudisha ndani tena! Anayebisha agune tu muone!!
Utakufa wewe kwanza!! Kwanza huna faida hapa TZ hata ukiliwa na simba tu ili hata mzoga wako tusiuone.Siku Jiwe atakapokufa hata sisimizi watashangilia.
Siku Jiwe atakapokufa hata sisimizi watashangilia.
Shetani hajawahi mshinda Mungu ndio maana sasa hivi chama cha majizi chafema wanapotea kwenye ramani. Hii yote ni mipango ya aliye juu. Mungu atukuzwe kwa hili.
Ha ha heko bashite Enzi zako hizi walikuwepo akina Ridhiwani ukiwa funga Gidamu za viatu leo waliokuwa wanakutuma wewe unatuma akina musiba lemutuz jerry Muro unatamba lakini at your age of 36 mind your words people are counting you you will suffer the consequences only time will tellWakifungwa mnapiga kelele wamefutia kesi mnaanza kuleta ujinga!! Tutawarudisha ndani tena! Anayebisha agune tu muone!!
Ha ha munajipooza wamepotea kwenye ramani huku mwenyekiti wako na wewe mwenyewe kutwa kuwatajaShetani hajawahi mshinda Mungu ndio maana sasa hivi chama cha majizi chafema wanapotea kwenye ramani. Hii yote ni mipango ya aliye juu. Mungu atukuzwe kwa hili.
kila nafsi itaonja mauti .Utakufa wewe kwanza!! Kwanza huna faida hapa TZ hata ukiliwa na simba tu ili hata mzoga wako tusiuone.
Mungu hapokei povu la mtuShetani hajawahi mshinda Mungu ndio maana sasa hivi chama cha majizi chafema wanapotea kwenye ramani. Hii yote ni mipango ya aliye juu. Mungu atukuzwe kwa hili.
Kuna mahakimu ni wazalendo na wachumia tumbo kama huyu wa kisuti yatamrejea maana Tawala zinabadirikaHahahaha mkishinda kesi mnaipongeza mahakama ila siku ikitokea hukumu ambayo Inawaumiza mnaanza kulia Lia.tukubaliane kitu kimoja kwamba mahakama zinafanya kazi vizuri mfano Ni hii kesi yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi kesi dhidi ya Upinzani huwa zakutengenezwa.Hahahaha mkishinda kesi mnaipongeza mahakama ila siku ikitokea hukumu ambayo Inawaumiza mnaanza kulia Lia.tukubaliane kitu kimoja kwamba mahakama zinafanya kazi vizuri mfano Ni hii kesi yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mirembe inakuhusu.Wakifungwa mnapiga kelele wamefutia kesi mnaanza kuleta ujinga!! Tutawarudisha ndani tena! Anayebisha agune tu muone!!