Sheria zinasemaje ukimtia mimba mwanafunzi wa Advance level ( kidato cha tano au sita)

Akiwa na umri chini ya miaka 18 unaishtakiwa kwa makosa mawili kubaka na kumsababishia ujauzito mwanafunzi.Akiwa na zaidi ya miaka 18 unaishatakiwa kwa kosa la kumpa ujauzito mwanafunzi.
Kwa hiyo hata akiwa na Miaka 30 ila ni mwanafunzi , Bado ni Makosa?? Maana as per what i know mwenye miaka 30 na mwenye miaka 19 ni sawa tu
 
Kwa hiyo hata akiwa na Miaka 30 ila ni mwanafunzi , Bado ni Makosa?? Maana as per what i know mwenye miaka 30 na mwenye miaka 19 ni sawa tu
Kampige mimba huyo wa miaka 30 alieko secondary tuone kesi itakavyoenda na Court judgement itakavyokuwa!
 
Kampige mimba huyo wa miaka 30 alieko secondary tuone kesi itakavyoenda na Court judgement itakavyokuwa!
Mkuu hapa tunajifunza tu , wala mm sio muumini wa kutembea na wanafunzi maana warembo hapa mjini Daslam wamejaa sana yaani mpaka nawakimbia mwenyewe..

Lengo la maswali haya ni kwa ajili ya kujifunza tu,
 
Hata hao walio chini ya miaka 18 huwa sio rahisi san mwanaume kufungwa ama kuchukuliwa hatua za kisheria until yeye kaleta ubishi ama kaikataa mimba. Hamna anayependa baba wa mtoto afungwe hata km umempa binti mdg mimba.
Bila kujali sheria inasema nini. Usimkatishe masomo.
 
Back
Top Bottom