Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,886
Salama. Kuna maeneo ya makazi ni mazuri sana kuishi hivyo kila mtu anatamani kuishi huko. Maenwo kama Masaki au Oysterbay.
Hili limepelekea watu kujenga maghorofa marefu sana na kuuza au kupangisha apartment. Majengo haya hubadili kabisa mazingira .
Yanazuia upepo na jua pia. Na zaidi ni kuwa yanasababisha congestion kubwa ya watu kwa eneo ambalo hawakudesign kwa namna hiyo.
Wengine wanajenga mahoteli marefu kwenye maeneo yaliyokuwa designed kwa makazi.
Sheria yetu inasemaje kuhusu ujenzi wa namna hii?